Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

Sasa hapo umeonyesha nini?
Mbona haieleweki
 
Huyo magufuli ndo kaleta na kakomaza hizi Siasa za Chuki na za kipumbavu, Yeye ndo karatibu kaharibu Demokrasia ya Nchi hii
 
Hawa Police imefikia hatua CHOCHOTE watakachoambiwa na CCM wanafanya...
....hata wakiambiwa wanye mavi yao kisha wayajaze kwenye ndoo na kwenda kuyamwaga ndani ya nyumba za wanaodhaniwa "kuipinga" serikali, hakika polisi watafanya hivyo....!!!
 
Jamii Forum inapoteza mvuto maana kucha kutwa habari za Chadema, isijekuwa JF ipo kwa ajili ya hawa Wakaskazini Chadema
 
Nimemmiss Jiwe kama Jiwe aka Uncle

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] dah. Hilo nalo neno brother.
Wangekuwa na hoja wangezitumia ila sasa hivi hawana ndiyo maana wanatumia mawe na kesi za kubambikia.

Msidhani CCM wanaogopa hoja ya katiba mpya hapana ukweli ni kwamba ccm wanaogopa sasa hivi kuruhusu watu wengine kufanya siasa kwa sababu sasa hivi ccm hawana tena hoja za kupeleka kwa wananchi.

Bajeti ya mwaka huu imeiweka ccm kwenye wakati mgumu kuliko kipindi chochote.
 
Ma RPC wamegeuka kua wana CCM. nchi hiii inashangaza sana tunakoelekea kubaya Zaidi.
Ni aibu sana kwa police kujihusisha na siasa badala ya jukumu lao la kulinda raia na mali zao.
wanajenga chuki ambayo itakuja kuzaa uhasama mkubwa sana.
 
Muogope Mungu unaita binadamu wenzako manyani. Wewe ukiitwa hivyo utafurahi. Hata Kama ni siasa tupunguze chuki. Hakuna aijuaye kesho. Anayecheka Leo kesho anaweza kuwa ndio muombolezaji.
Unashangaa neno manyani kwa kulitaja jina la Mungu[emoji10][emoji10]
Je ujawai kusikia jina kafiri ? kwenye uislamu
Je uliwahi kusoma ili andiko kuwa watu watasema bora tungezaliwa wanyama ?
 
Maneno yako ni mazuri na sahihi kabia tatizo unao washauri ni MANYANI NI NGUMU KUKUELEWA
 
Mungu siku zote husimama upande wa watu wanaoonewa. Atatufuta machozi siku moja
 
Manina ma polisi...***** huu ndio unyangau Mola ashushe laana tuwe na jeshi la polisi walemavu na machoko yasio na nguvu potelea pwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…