Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM.

View attachment 1882661
Tatizo lenu ni kumfananisha magufuli na mambo ya kipumbavu , sasa mtajua kuwa ccm bila ya magu ni upumbaavu ,si mlikuwa na furaha kufa kwa magufuli [emoji2]
Sasa mtajua yule aliye kataza ccm isibomoe hotel ya sugu kesha kufa ...
Nyani walifurahia kusikia magufuli kafa wakajua watakuwa wanakula mahindi ya shamba lake sasa mahindi aliyo ya acha magufuli yamekwisha manyani mnaanza kutapatapa na kulia na kusaga meno
Manyani wengine wanatapstapa kwa kuweka tozo
Manyani wengine wana teseka jela kwa ugaidi
 
Hahaha, li chama la magaidi, naona mlishangilia sana kifo cha Dkt JPM mkaachwa ili mjianike zaidi juu ya unafiki wenu, na hakika lichama lenu lililokufa halina intelijensia kabisa, yaani kila aliyeshangilia kifo cha JPM hatobaki salama aidha ktk kizazi hiki au kijacho maana huyo atahesabiwa ni mkosa na kila mtawala atakayekuja hilo ndilo faili la kwanza (teketeza kizazi cha wanafiki wa nchi ili nchi isonge mbele). Tanzania tunahitaji upinzani chanya, upinzani wa kuoneana huruma, upinzani unaotoa kipawa mbele cha maendeleo ya taifa, siyo eti unashangilia na kudharau waasisi wa taifa hili then ubaki salama????. Mjifunze, kama hamjabadilika msitegemee kuonewa huruma. Na Mama alipoonza alitumia techiniki ya kimataifa, akaona hebu hawa mbumbu majinga majinga nijaribu kutekeleza kidogo yale yanaypogia kelele (ikumbukwe JPM alifanya hivyo hivyo––kuzuia ufisadi, uzembe, rushwa, uwajibikaji n.k) vitu ambavyo lilikuwa takwa lao kuu, hahaha, JPM aliishia kutukanwa, kubezwa, na mpaka wakabeza na kushadadia kifo chake, na kwa Mama nako imetokea hivyo hivyo, yaani nyie wapinzani mnamdharau kwa sababu eti ni rais mwanamke, eti mdude anasema atamnyoa Mama yetu, yaani unajitamba ulihusika na kifo cha JPM kwa kusema eti ulimnyoa kwa wembe na Mama naye utatumia wembe huo huo (yaani as if kummaliza) halafu mwenyekiti mbowe anaenda huko mbeya kushangilia kauli za kijinga, hahahah, vuneni mlichopanda na bado, mpaka kisiki king'olewe ili tuwe na upinzani mpya wenye tija.
 
Wakati Soko la Kariakoo lilipokuwa likiungua magari ya zimamoto ilisemekana hayana maji, lakini lakini maji yaliyotiwa pilipili kwa ajili ya kuwamwagia wanaodai katiba mpya yapo.
 
Kamanda wa polisi wa mkoa wa kigoma,kama mnaamini juu ya mstakabali wa nchi yetu ni muhimu kuliko kitu kingine, kwa video clip hii inayosambaa kwenye mitandao, ni hekima kama mnaona inafaa mkatolea ufafanuzi hiki kilichofanyika.IGP afande Siro,wewe ni Mkristo bro,tunaamini tukiwa Viongozi tunayoyatenda na kufanyika chini ya mamlaka ambazo Mungu ametuweka ipo siku tutatoa hesabu mbele za Mwenye Enzi Mungu aliyetuumba sisi wote.Yapo mengi mazuri yanayofanywa na jeshi la polisi,we appreciate,lakini yapo mengine mh!
Naamini ni muhimu kuja kulifanyia Reformation jeshi la polisi,sio siri haikwepeki.
Mwisho mkuu wa majeshi(CDF)Mabeo kazi yako ni njema,japo majukumu ni tofauti,tunawaombea muendelee kujipambanua na wengine waendelee kujifunza kutoka kwenu.
 
Huko Kuna mkuu wa mkoa, wilaya na viongozi polisi ambao ni wenyeviti na makatibu kamati za ulinzi na usalama!? Wana bariki ujinga huu??Hao watesi si wanafamilia?? Ni Watanzania wenzetu!?? Wanajua Katiba na sheria za nchi hii?? Ugaidi wanaoupandiza Karibuni taifa litaanza kuvuna matokeo!!
 
Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM.

View attachment 1882661
Polisiccm sasa ni kama wameamua kujitoa fahamu kwa manufaa ya CCM
 
Huko Kuna mkuu wa mkoa, wilaya na viongozi polisi ambao ni wenyeviti na makatibu kamati za ulinzi na usalama!? Wana bariki ujinga huu??Hao watesi si wanafamilia?? Ni Watanzania wenzetu!?? Wanajua Katiba na sheria za nchi hii?? Ugaidi wanaoupandiza Karibuni taifa litaanza kuvuna matokeo!!
Polisiccm wanatia huzuni
 
Polisiccm sasa ni kama wameamua kujitoa fahamu kwa manufaa ya CCM
Jukumu namba moja la police ni kuilinda ccm isianguke.Viongozi wake kabla ya kustaafu upewa ahadi ya ubunge,napo upigwa chenga wakishastaafu wakumbushiapo Ahadi.
 
Tatizo lenu ni kumfananisha magufuli na mambo ya kipumbavu , sasa mtajua kuwa ccm bila ya magu ni upumbaavu ,si mlikuwa na furaha kufa kwa magufuli [emoji2]
Sasa mtajua yule aliye kataza ccm isibomoe hotel ya sugu kesha kufa ...
Nyani walifurahia kusikia magufuli kafa wakajua watakuwa wanakula mahindi ya shamba lake sasa mahindi aliyo ya acha magufuli yamekwisha manyani mnaanza kutapatapa na kulia na kusaga meno
Manyani wengine wanatapstapa kwa kuweka tozo
Manyani wengine wana teseka jela kwa ugaidi
Bila ubabe wa magu ccm ilishakufa,hapa ccm inajimalizia kujikaanga.
 
Kuna vyeo vinawaniwa hapo.
Hayo maeneo yote ambayo polisi wanademka- si bure, kuna wakubwa wanawania vyeo baada ya wenzao kustaafu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mi nafikli ni njama za kumuharibia mama,awe makini sana na watu wake
Yule yupo tu kama mwanasesere kaupiga pono yupo autopilot ajui lipi ashike lipi aanze nae.Tulimwambia fanya service gari piga chini vyoote vibovu akatudharau sisi wapiga debe wa stand.
Huyu arudi tena naona keshajichokea mapema.
Raisi akifa nchi irudi kwenye uchaguzi Ili tupate chaguo sahihi, Hakunaga Makamu wa raisi smart kuliko raisi.Huwezi ukawa raisi ukachagua Makamu Smart hofu atakuzidi.
 
Tatizo lenu ni kumfananisha magufuli na mambo ya kipumbavu , sasa mtajua kuwa ccm bila ya magu ni upumbaavu ,si mlikuwa na furaha kufa kwa magufuli [emoji2]
Sasa mtajua yule aliye kataza ccm isibomoe hotel ya sugu kesha kufa ...
Nyani walifurahia kusikia magufuli kafa wakajua watakuwa wanakula mahindi ya shamba lake sasa mahindi aliyo ya acha magufuli yamekwisha manyani mnaanza kutapatapa na kulia na kusaga meno
Manyani wengine wanatapstapa kwa kuweka tozo
Manyani wengine wana teseka jela kwa ugaidi
Umemfufua mwenyewe acha asemwe.
Mwovu ni mwovu tu, na akifa lazima watu watafurahi, ndiyo sababu alipokufa jiwe watu walifurahi. Hata hawa waovu waliobaki ambao ni team yake ( unawafahamu) wakifa watu watafurahi tena.
Ukiwa mwovu utaombewa ufe na ukifa watu watakunywa pombe barabarani kusherekea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna vyeo vinawaniwa hapo.
Hayo maeneo yote ambayo polisi wanademka- si bure, kuna wakubwa wanawania vyeo baada ya wenzao kustaafu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wakistaaafu ukimbilia ubunge wayafanyayo ni kutengeneza cv ya kuteuliwa ubunge wakati wa interview kwamba nitakipigania chama we uoni nilipokuwa police nilivyowashughulikia wapinzani,kwa cv hii ccm wanaachache kumpa ubunge
 
Hahaha, li chama la magaidi, naona mlishangilia sana kifo cha Dkt JPM mkaachwa ili mjianike zaidi juu ya unafiki wenu, na hakika lichama lenu lililokufa halina intelijensia kabisa, yaani kila aliyeshangilia kifo cha JPM hatobaki salama aidha ktk kizazi hiki au kijacho maana huyo atahesabiwa ni mkosa na kila mtawala atakayekuja hilo ndilo faili la kwanza (teketeza kizazi cha wanafiki wa nchi ili nchi isonge mbele). Tanzania tunahitaji upinzani chanya, upinzani wa kuoneana huruma, upinzani unaotoa kipawa mbele cha maendeleo ya taifa, siyo eti unashangilia na kudharau waasisi wa taifa hili then ubaki salama????. Mjifunze, kama hamjabadilika msitegemee kuonewa huruma. Na Mama alipoonza alitumia techiniki ya kimataifa, akaona hebu hawa mbumbu majinga majinga nijaribu kutekeleza kidogo yale yanaypogia kelele (ikumbukwe JPM alifanya hivyo hivyo––kuzuia ufisadi, uzembe, rushwa, uwajibikaji n.k) vitu ambavyo lilikuwa takwa lao kuu, hahaha, JPM aliishia kutukanwa, kubezwa, na mpaka wakabeza na kushadadia kifo chake, na kwa Mama nako imetokea hivyo hivyo, yaani nyie wapinzani mnamdharau kwa sababu eti ni rais mwanamke, eti mdude anasema atamnyoa Mama yetu, yaani unajitamba ulihusika na kifo cha JPM kwa kusema eti ulimnyoa kwa wembe na Mama naye utatumia wembe huo huo (yaani as if kummaliza) halafu mwenyekiti mbowe anaenda huko mbeya kushangilia kauli za kijinga, hahahah, vuneni mlichopanda na bado, mpaka kisiki king'olewe ili tuwe na upinzani mpya wenye tija.
Yaani nyie genge mmefight sana kurudisha haya mambo ya kishenzi ya bwana wenu ili tu mje mpost utumbo kama huu ulioandika.

Back
Top Bottom