100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Nguvu wazipatie wapi wakati mafunzo hawafanyi kwasababu kazi zenyewe hizi wanapewa kwa connectionHapo raia kumi tu wangeingia walikuwa wanawavuruga hao was3nge wote hapo na ma helmet yao.. labda wangetumia bunduki tu..
Watu wenyewe wanaonekana hata nguvu hawana..
Sawa sawa na wao Wana hasira zao, na usikute wanatia hasira raia, wafanye Yao ila raia Bado hatujashtukaUnaweza kukuta hapo wana madeni
Mikopo imewajaa
Kwa nchi yetu ya Tanzania isha jidhihirisha kuwa, upolisi ni kazi ya laana.polisi akili zao wanajua wenyewe.ugumu wa maisha plus kazi ya kukesha bila kulala inawafanya kuwa na msongo wa mawazo.
Kwenye hilo kundi unavyoona kuna mtu yeyote unayeweza kum-suspect kuwa anajua hata PGO ni nini?Hivi hawa jamaa wanasoma hata PGO zao kweli?
Wanampiga Mwananchi kiasi hicho, ambaye hana hata silaha
Kuna haja, hili jeshi likavunjwa tuanze kuajiri upya
Hawa jamaa wengi huwa hawana Utu kabisaKwenye hilo kundi unavyoona kuna mtu yeyote unayeweza kum-suspect kuwa anajua hata PGO ni nini?
Sijatamani kuangalia na siku yangu imeharibika kufungua izo video ni Unyama USIO na KIPIMO.NAKUONAGA WEWE NI FALA SASA NAZIIDI KU-PROVE KWAMBA WEWE NI PUNGUANI MKUBWA.
HIVI KWELI MTU ANAPIGWA KWA KIASI HICHO, hana silaha wala nini huku akiwa aanapigwa na rundo la watu unaona ni sawa .
FALA SANA WEWE
Mimi nahisi wangeniulia hapo kabisa ,😅Nguvu wazipatie wapi wakati mafunzo hawafanyi kwasababu kazi zenyewe hizi wanapewa kwa connection
Na hapo sio tu watu kumi.
Hata jamaa mwenyewe hakuamua tu kujihami kwa ile dhana ya kuamini kuwashambulia maafisa usalama ni kuingia kwenye matatizo zaidi.
Ila angeamua kumchapa mmoja kikombe cha maana, hao wasng wengine wangerudi nyuma.
View attachment 3472559
Ni mapumbavu tu hayo..Nguvu wazipatie wapi wakati mafunzo hawafanyi kwasababu kazi zenyewe hizi wanapewa kwa connection
Na hapo sio tu watu kumi.
Hata jamaa mwenyewe hakuamua tu kujihami kwa ile dhana ya kuamini kuwashambulia maafisa usalama ni kuingia kwenye matatizo zaidi.
Ila angeamua kumchapa mmoja kikombe cha maana, hao wasng wengine wangerudi nyuma.
View attachment 3472559