Unashauri ukudaNawashauri na wengine kama unaona kupambana kwako kumefika mwisho na hauna technique nyingine ya kutoboa
Nenda sehemu ya Public kwenye Juu ya majengo makubwa Kanisani, msikitini, majengo ya hotel, halafu jaribu kitu kama hiki
I swear u will have public attention and your problem to be solved
Fanya kazi mzee huruma huruma unayoitaka ni ya kujifedhehesha tuNawashauri na wengine kama unaona kupambana kwako kumefika mwisho na hauna technique nyingine ya kutoboa
Nenda sehemu ya Public kwenye Juu ya majengo makubwa Kanisani, msikitini, majengo ya hotel, halafu jaribu kitu kama hiki
I swear u will have public attention and your problem to be solved
Ongezea Na Kesi Ya Uhujumu Uchumi InamngojaAkishushwa hapo badala ya kupata msaada (wa hali na mali) ataambulia kuchezea virungu na kulala sero.
Wewe huna matatizo yeyote? Kwanini wewe usianze kupanda kwenye hayo majengo?Nawashauri na wengine kama unaona kupambana kwako kumefika mwisho na hauna technique nyingine ya kutoboa
Nenda sehemu ya Public kwenye Juu ya majengo makubwa Kanisani, msikitini, majengo ya hotel, halafu jaribu kitu kama hiki
I swear u will have public attention and your problem to be solved
Jifunze kuzijua changamoto za watu na maisha yaoFanya kazi mzee huruma huruma unayoitaka ni ya kujifedhehesha tu
Bado kidogo nifike level hiyoWewe huna matatizo yeyote? Kwanini wewe usianze kupanda kwenye hayo majengo?
Ndio nasubiri wewe uonyeshe mfano kwa ulichokishauri.Bado kidogo nifike level hiyo
Kuwa na subira mkuu
Ushawahi kujiuliza kwanini kuna watu wanafikia hatua ya kujiua kwasababu ya Depression?
Kwenye jamii jifunze kuangalia maisha ya watu wengine na sio maisha yako tu
Soon mkuuNdio nasubiri wewe uonyeshe mfano kwa ulichokishauri.
Asante sana mkuu kwa kutupatia hizo MMProblem Attention
Namna ya kutaka kusikilizwa shida zako ikiwa umetumia kila njia ila mamlaka haitaki kukusikiliza
Hii ni mbinu ya mwisho ya kivita na ukikosea hata kidogo basi utaliwa kichwa
Usipanic mkuu hyo ni scene ya kimamlaka mbele ya hadhira mazezeta,ndo mana wanasiasa ngumu sana kwenda mbinguniUsalama wa Rais wanalala? Anafikaje huko kizembe hivyo. Wanausalama wa Tanzania wana mbwembwe, unaweza dhani wako very serious na majukumu yao.
Ok tunaomba wewe mwenye uelewa wa nini kimemkumba huyo ndugu yetu utufahamishe.Usijibu haya maswali kwa reactionary namna hii
Humjui muhusika,hujui kinachomkabili...unless ungekua unajua
Ila kama his reactions ni connected na rais,kuna mahali kuna shida,na solution sio kujibu kwa kebehi namna hii kwa muhusika
Kuna shida mahali,ni jukumu letu kujua
Pia wenye madaraka wajiangalie,kuna tatizo la our administrative dispensation kwenye hii nchi mahali
Huyu ni tukio la 3 mwaka huu....mpaka mtu kutaka kujitoa uhai si kitu kidogo,awe na akili timamu au asiwe nazo.....Hakuna mtu asie na akili timamu anataka "kujiua",kujiua ni no gone zone kwa wenye akili na wasio na akili put together
Usije singizia eti hana akili..hiyo si sababu kabisa
Nimeanza kukuelewa sasaUsipanic mkuu hyo ni scene ya kimamlaka mbele ya hadhira mazezeta,ndo mana wanasiasa ngumu sana kwenda mbinguni
Dereva alikuwa anatuingiza chaka kabisaPia kuna kitu Kinaitwa PTSD, this is more harmful na kwasasa watanzania wengi wanapitia hii kitu
Post traumatic stress disorder