Hatuhitaji wasanii maana tunataka watu watakao kuja kusikiliza sera na sio kusiliza mzikiHivi chadema hakuna Msanii hata kama Zuchu tu.
aimbe lissu haii..haiii...haaiii, CCM wateleke kwanza.
Aisee...CHADEMA iko very disorganized.
View attachment 1600320
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.
Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
One loveView attachment 1600320

kamanda a chana na li robot chuki sio wimbo lakini kijani nakidhungu niwapi nawapi wamezoe "Magu amejenga flyover Kwangwaru,Vijana wa Lumumba wapumbavu na wajinga Kwangwaru,magu ameenda gareji kwangwaru..."Mataga tafuta mkalimani ukutafsirie maneno ya kwenye hiyo nyimbo.
Furaha hii,maana yake Mungu yu pamoja naoHizo nyimbo zinamaana sana kuliko hizo wanazopiga kwenye majukwaa na kina Diamond, Ali Kiba na wenzake...kina Bob Marley walitunga melody kwanza zenye hamasa na kuweka maneno yenye hamasa zaidi, sasa wasanii wetu anachukua wimbo wa mapenzi anabadilisha anaweka CCM, Magufuli basi anaona amemaliza kazi.
Tuliza kinena hicho,nyimbo za zuchu zinawatosha nyinyi.Nyimbo za aina hiyo zinapendwa sana na wazee wa cha chuga.
Sasa sijui ndio tuseme mnatumia Sana weed??
Song linabamba kichizi yaaniView attachment 1600320
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.
Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
One heart, one love.Of course, selection ya wimbo wenyewe ni nzuri kwa kuwa umelandana na slogan ya CDM ya #No hate.
#Ni yeye 2020✌✌✌
Zuchu aisaidie kwanza ccm. Huku hatumhitaji.Hivi chadema hakuna Msanii hata kama Zuchu tu.
aimbe lissu haii..haiii...haaiii, CCM wateleke kwanza.
Aisee...CHADEMA iko very disorganized.
Nimejikuta mwana ccm akifa sitoi pole na wala msiba wake haunigusi hata nikijilazimisha moyoni bado moyo haukubali.Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.
FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.
Nyimbo za kwenye vilabu vya mbege...
Nileteeeni Gwajimaaaaaana aliyeleta huu uzi naye ni great thinker,
kwa hiyo ngoma hiyo inafungua mkutano na kufunga mkutano sio au
Delete ccm Oct 28
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.
Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hahahs haa interestingNileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nileteeeni GwajimaaaaaaNimejikuta mwana ccm akifa sitoi pole na wala msiba wake haunigusi hata nikijilazimisha moyoni bado moyo haukubali.
Unaanzaje kumwonea huruma mtu ambaye anashabikia mauaji ya wengine, watu kutekwa, kuporwa, kuteswa, kuuawa, kuchomwa visu, kupigwa shoti za umeme, kuingiziwa miti sehemu za siri, kubambikiwa kesi za hovyo na watu kuozea mahabusu ......hata kama hufanyi wewe kitendo cha kushabikia tu na kuonesha hujali kwa yanayowakuta watu wengine tena bila kosa inaonesha na wewe ni shetani tu.
Kwa sasa siendi misiba ya wanaccm, sotoi sadaka kwa makanisa ya manabii wa uongo, sitoi mchango wowote kwa watu wa namna hiyo. Nimejilazimisha lakini bado moyo unakataa.
Nyimbo za ukomboziNyimbo za kwenye vilabu vya mbege...