Uchaguzi 2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu

"Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita."

CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar, hawashindi Uchaguzi huu, kwa hiyo tutakua huru.
 
Bob Marley ana wimbo mwingine anasema Jah will never give power to a bald head.

2015 tulikosea.

tarehe 28/10 Jah katupa nafasi ya kurekebisha makosa.
 
View attachment 1600320
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.

Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Ukweli ni kuwa Lissu akishinda na akatangazwa mshindi nchi hii italipuka kwa shangwe ambayo labda hatujawahi kuiona, utakaa unajiuliza hawa watu wote walikuwa wapi kipindi cha mateso?
 
View attachment 1600320
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.

Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
One love

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hizo nyimbo zinamaana sana kuliko hizo wanazopiga kwenye majukwaa na kina Diamond, Ali Kiba na wenzake...kina Bob Marley walitunga melody kwanza zenye hamasa na kuweka maneno yenye hamasa zaidi, sasa wasanii wetu anachukua wimbo wa mapenzi anabadilisha anaweka CCM, Magufuli basi anaona amemaliza kazi.
Furaha hii,maana yake Mungu yu pamoja nao
 
View attachment 1600320
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.

Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Song linabamba kichizi yaani
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.
Nimejikuta mwana ccm akifa sitoi pole na wala msiba wake haunigusi hata nikijilazimisha moyoni bado moyo haukubali.

Unaanzaje kumwonea huruma mtu ambaye anashabikia mauaji ya wengine, watu kutekwa, kuporwa, kuteswa, kuuawa, kuchomwa visu, kupigwa shoti za umeme, kuingiziwa miti sehemu za siri, kubambikiwa kesi za hovyo na watu kuozea mahabusu ......hata kama hufanyi wewe kitendo cha kushabikia tu na kuonesha hujali kwa yanayowakuta watu wengine tena bila kosa inaonesha na wewe ni shetani tu.

Kwa sasa siendi misiba ya wanaccm, sotoi sadaka kwa makanisa ya manabii wa uongo, sitoi mchango wowote kwa watu wa namna hiyo. Nimejilazimisha lakini bado moyo unakataa.
 
Aliyetoa wazo la kutumia huo wimbo kwenye kampeni za Lissu anastahili pongezi.

Wimbo ulitoka miaka zaidi ya 40 iliyopita, kwa lugha isiyoeleweka kwa wengi. Ni wimbo mmoja tu lakini unagusa mioyo ya watu na kuamsha hisia zao kuliko zile nyimbo za wasanii 200 wanaojitafutia ugali.

One Love!
 
na aliyeleta huu uzi naye ni great thinker,
kwa hiyo ngoma hiyo inafungua mkutano na kufunga mkutano sio au
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.

Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na uadui. Tetesi nilizoambiwa wimbo huu kwa sasa ni marufuku kupigwa katika vyombo fulani vya redio ili kutoonyesha kuunga mkono upande fulani mpaka kipindi hiki cha uchaguzi kitakapopita.

Nawakumbusha watanzania wote tukapige kura pamoja with "one love", tumchague kiongozi atakayetupa furaha na maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Delete ccm Oct 28
 
Back
Top Bottom