Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru.

Hongera sana Professor Lipumba na msaidizi wako Mage Sakaya, hayo ndiyo malipo mliyo stahili kutoka kwa wapenda mageuzi wa Tanzania.



 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
 
Vigezo anavyo asigombee kwa sababu gani? Kasome katiba Tena. Nchi huru hii, mlitaka nani agombee. CUF chama makini
Malipo yake ndiyo hayo sasa kama umati huo waliyo jitokeza kumpokea
 
Lipumba anaoa lini? Je kwemye Fomu za kugombea urais kipengele cha kuwa na familia hakipo?
Kweli as isee sijawahi kuona familia yake huyu jamaa, au Sakaya ni moja ya familia yake?
 
Back
Top Bottom