Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Ni ahadi alizopewa za kuachiwa baadhi ya majimbo, ni mpenda ruzuku ndio maana unamuona mdomo wake uko wazi muda wote kama fisi
Naikumbuka sana siku anajiandaa kwenda Rwanda kuwa mshauri wa mambo ya uchumi baada ya kuwasaliti ukawa.
FB_IMG_1493312084620.jpg
 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
Sasa tatizo lipo wapi?
 
Back
Top Bottom