Vigezo anavyo asigombee kwa sababu gani? Kasome katiba Tena. Nchi huru hii, mlitaka nani agombee. CUF chama makiniKuna muda mtu ndo unang'amua elimu ya darasani sio kitu. Hata mtu unayemdharau mwenye elimu ya O level akawa na upeo mkubwa kuliko professor.
Lipumba wa kugombea Urais kweli?
Halafu anakwambia kuwa cuf tukiingia madarakani tutafanya hayaaaKuna muda mtu ndo unang'amua elimu ya darasani sio kitu. Hata mtu unayemdharau mwenye elimu ya O level akawa na upeo mkubwa kuliko professor.
Lipumba wa kugombea Urais kweli?
Ni aibu, bora angegombea ubunge tu.Alafu anakwambia kuwa cuf tukiingia madarakani tutafanya hayaaa