Uchaguzi 2020 Video: Profesa Lipumba apokelewa Dar akitokea Dodoma kuchukua Fomu ya Uteuzi

Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malipo yake ndiyo hayo sasa kama umati huo waliyo jitokeza kumpokea
Duuu kwa hiyo nyomi lazima Chadema waone wivi maana cuf imevunja record
 
Hawa vijana wengi hapo wanatoka Buguruni kwa Mnyamani , Temeke mikoroshini na Tandale kwa Tumbo , ikumbukwe kwamba Abdul Kambaya ni mfanyabiashara wa soko la Tandale anayejishughulisha na Njegere na viazi mviringo kutoka Tanangozi Iringa
Sasa tatizo lipo wapi?
 
Lissu Dar iwe ya mwisho kutafuta wadhamini patachimbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…