Video queen, Tunda atupia majibu yake ya VVU/UKIMWI mtandaoni!

Mkuu kupima ukimwi kuna taka moyo, marafiki zangu wote wamepima baada ya kutaka kuoa sababu hakuna jinsi.
Kipengele cha ukitaka kuoa lazma mpime afya zenu sijui kwann hakiondolewi[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa majibu ya vipimo vya HIV kwa kuonyesha watu maana yake nini?mbona hajapima Maralia au typhod na akawaonyesha watu.dah kizazi hki bhana
 
huyo mawalla atakuwa mdogo wa baby madaha
Mbona kama hawafanani kabisa, huyo bint Mara nyingi huwa wanaonekana viwanja na tunda ni chapombe harafu anavuta mabange ni hatari tupu naona wanatumbua pesa za wazazi wao!
 
Mbona kama hawafanani kabisa, huyo bint Mara nyingi huwa wanaonekana viwanja na tunda ni chapombe harafu anavuta mabange ni hatari tupu naona wanatumbua pesa za wazazi wao!
mzee kumbe tafsida haujui[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwamba mdogo wa baby madaha kwamba ni msagaji
 
Basi ulikuwa ushafanya matusi ndio maana...

Mbona mara ya kwanza hukuogopa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…