Anaitwa Lilian MawallaHivi yule mwanamke anakuaga na tunda yupo kama Tomboy ni nani...somebody mawalla ndio yule baba yke alikua wakili maarufu Arusha au? Maana dem anaonekana mambo swafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Lilian MawallaHivi yule mwanamke anakuaga na tunda yupo kama Tomboy ni nani...somebody mawalla ndio yule baba yke alikua wakili maarufu Arusha au? Maana dem anaonekana mambo swafi
Ni Lilian ndio, naulizia yule lawyer wa Arusha alivutaga ndio baba yake ama" jamaa alikua na cash si mchezoAnaitwa Lilian Mawalla
Mkuu kupima ukimwi kuna taka moyo, marafiki zangu wote wamepima baada ya kutaka kuoa sababu hakuna jinsi.Jaman asikwambie mtu majibu ya ukimwi hayazoeleki hata kama hufanyi matusi mi kwa mara ya kwanza nilienda kupima vvu nilikuwa field ikatokea tu chance nikaingia kupima coz ilikuwa ni hapohapo hospital tulikuwa 27 ila tuliokuwa tayar kupima tulikuwa 5 basi tukapimwa tukawa tuko poa siku ingine nikarudi tu mwenyew kibahat mbaya maana niliona sina kazi nikasema ngoja nirud nikachek afya nilipokuwa nangoja majibu yaan akil haikuwq yangu doctor ananipigisha story hata simuelew
Mbona kama hawafanani kabisa, huyo bint Mara nyingi huwa wanaonekana viwanja na tunda ni chapombe harafu anavuta mabange ni hatari tupu naona wanatumbua pesa za wazazi wao!huyo mawalla atakuwa mdogo wa baby madaha
mzee kumbe tafsida haujui[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwamba mdogo wa baby madaha kwamba ni msagajiMbona kama hawafanani kabisa, huyo bint Mara nyingi huwa wanaonekana viwanja na tunda ni chapombe harafu anavuta mabange ni hatari tupu naona wanatumbua pesa za wazazi wao!
Hapo nimekupata!mzee kumbe tafsida haujui[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwamba mdogo wa baby madaha kwamba ni msagaji
Basi ulikuwa ushafanya matusi ndio maana...Jaman asikwambie mtu majibu ya ukimwi hayazoeleki hata kama hufanyi matusi mi kwa mara ya kwanza nilienda kupima vvu nilikuwa field ikatokea tu chance nikaingia kupima coz ilikuwa ni hapohapo hospital tulikuwa 27 ila tuliokuwa tayar kupima tulikuwa 5 basi tukapimwa tukawa tuko poa siku ingine nikarudi tu mwenyew kibahat mbaya maana niliona sina kazi nikasema ngoja nirud nikachek afya nilipokuwa nangoja majibu yaan akil haikuwq yangu doctor ananipigisha story hata simuelew
Hahaha hapana nilijikuta ninaogopaBasi ulikuwa ushafanya matusi ndio maana...
Mbona mara ya kwanza hukuogopa..
Hahahhaha kuna taka moyo aiseeeMkuu kupima ukimwi kuna taka moyo, marafiki zangu wote wamepima baada ya kutaka kuoa sababu hakuna jinsi.
Kipengele cha ukitaka kuoa lazma mpime afya zenu sijui kwann hakiondolewi[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Pole sana rafiki... Next time kuwa jasiri.Hahaha hapana nilijikuta ninaogopa
Mimi ni mwanaumesamahani wewe ni mkaka?
Hii stamp siinatengenzwa jaman achukue video kabisa atuonyeshe nkipimo na majibu aache mapcha