DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
wee ndio huna akili kabisa kwani kakosea wapi

Kusema ule ukweli Magufuri angekuwepo huu mradi ungekuwa upo mbali sana

Ungesikia akimwamba mkandarasi "kufika mwakani nataka nije kuzindua SGR" kwa sauti ya mamlaka sio kama huyu mama yenu bembeleza bembeleza
Wewe punguani kabisa hivi unajua hata iyo sababu ya huo mgomo au na ww ndio ushashiba magimbi unaropoka tu.
 
Back
Top Bottom