wee ndio huna akili kabisa kwani kakosea wapi
Kusema ule ukweli Magufuri angekuwepo huu mradi ungekuwa upo mbali sana
Ungesikia akimwamba mkandarasi "kufika mwakani nataka nije kuzindua SGR" kwa sauti ya mamlaka sio kama huyu mama yenu bembeleza bembeleza