Duh hakika imependeza sana mama kumkalisha kiti cha rais binti mdogo mwenye ndoto ya kua raisMtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nayo habari me nikajua yuko k/koo anawapoza wafanyabiashara kumbe yeye kaenda kujitangaza.. Anapenda media kama msanii wa Bongo flavor
Kuwa Rais sifa si ni kujua kusoma na kuandika au??AKAZANE KUSOMA.
Kwani waziri mkuu aliyelishughulikia jana tu limemshinda?!!! Maduka hayajafunguliwa leo?!!!!Nayo habari me nikajua yuko k/koo anawapoza wafanyabiashara kumbe yeye kaenda kujitangaza.. Anapenda media kama msanii wa Bongo flavor
Kuwa Rais sifa si ni kujua kusoma na kuandika au??
Nani kakudanganya Urais ni kusoma sana...ingekuwa ndio hivyo Sa100 na JK kwa mfano wangekuwaje marais ktk nchi yenye wasomi weengi wakubwa kama hii hasa kwa miaka ya karibuni?!.AKAZANE KUSOMA.