VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Ni rotational based leadership mkuu ambayo nchi inapewa sasa kama nchi ina kiongozi kama huyo imekula kwenu hamwezi kuiruka
Hata kama, sio kwa afya ya huyo kiongozi. Huo ni ushahidi kuwa hiyo jumuiya haiko serious. Watu miaka zaidi ya 20 walikuwa wawe na sarafu ya pamoja lakini ni porojo tu. Unapoona viongozi wa aina hiyo wanakuwa viongozi, ujue kabisa hiyo jumuiya ni ya kufujia pesa za wananchi kisheria.
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Huyu si ndio alijikojolea kule USA? Mtu mgonjwa unakomaa ,stupid
 
Asante kwa kunikumbusha. Sasa hii ni aibu kwa jumuiya nzima, kama huyu ndio kiongozi wa jumuiya ni kitu gani watajadiliana humo? Namna ya kupata viongozi inapaswa kuangaliwa upya.
Mkuu, mwenyekiti ni alama tu, mambo mengi yanafanywa na Katibu wa EAC na baadhi ya watendaji, mara nyingine mawaziri wa EAC.

Yeye ni msimamizi wa vikao tu kwa muongozo wa agenda alizoandaliwa.

Uzuri ni kuwa uongozi ni wa mwaka mmoja.
Mwakani majira kama haya labda uongozi utakuwa DRC, Uganda au hata Ethiopia nk
 
Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.

Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Nadhan hiyo post ni rotational...pia unaweza Kuta Sudan brings more to the community kuliko hizo speeches tamu tamu kama za kina lizarius chakwera wa Malawi...

Alafu waafrika na speeches na debates ni vitu vya kuwaiga wakoloni... sidhani kama machifu wa zamani kama kina mangungo walikua hodari sana wa kutoa hotuba za kusisimua.
 
Napokea habari ya nafasi kuwa ya mzunguko.

Suala la Sudan kuwa na mchango wowote kwenye jumuiya na hotuba halikuwa hoja hapa mkuu. Hoja ni Rais na mwenyeketi wa sasa wa jumuiya ni mgonjwa, hata nafasi ya urais aliyonayo ni kwasababu tu ni Afrika na Afrika ina vituko vyake.

Kuhusu speeches na debates unayosema, dunia imebadilika kwa sasa, hizi sio zama za hao akina mangungo. Hizi ni zama za majadiliano na watu wamejikita zaidi kwenye kujifunza namna ya kuongea na kushawishi watu ili wapate kitu. Hii sio dunia ya madomo zege tena.
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kama yeye unamuona ana shida , Je Hawa waliompa uenyekiti wa EAC unafikiri watakuwa na hali gani!??
 
Utoto mwingine bana, cdm yenyewe haina miaka 40, Sasa sijui unakwamwa wapi!
Mapenzi hupofusha,

Huwezi ukaona hata uambiwe nini

Hapo unaona jamaa kakaa madarakani miaka miwili tu.
 
Upuuzi mtupu sasa kama rais yupo hivi vp wananchi huko wana hali gani?
😂😂😂 East Africa Community inazidi kunoga.
Ethiopian-Fat-man-contest.jpg
 
Back
Top Bottom