Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hata kama, sio kwa afya ya huyo kiongozi. Huo ni ushahidi kuwa hiyo jumuiya haiko serious. Watu miaka zaidi ya 20 walikuwa wawe na sarafu ya pamoja lakini ni porojo tu. Unapoona viongozi wa aina hiyo wanakuwa viongozi, ujue kabisa hiyo jumuiya ni ya kufujia pesa za wananchi kisheria.Ni rotational based leadership mkuu ambayo nchi inapewa sasa kama nchi ina kiongozi kama huyo imekula kwenu hamwezi kuiruka