VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Sudan na Somalia should've never been admitted to the EAC. EAC imekua ya hovyo sana
 
Aibu hii
 

Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.

Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Uangozi wa jumuia unazunguka, siyo kuwa walimchagua bali ilikuwa ni zamu ya nchi yake. Tatizo ni yeye kuwa kiongozi wa nchi yake.
 
Alimwaga kojo hadharani kama kawaida ya madictator wa nchongo waliorecord wakapotezwa
 
hizi Regional Block za Africa ni Gentlemen Club, hakuna kitu hapo
 
Issue siyo ugonjwa. Ni umri umeeenda. Jinga sana hílií
Na mipombe hapo unaweza Kuta mi hangover mixa kakutana na totoz ya kimbulu kajichokea fisadi huyo dawa yao kuwafurusha tu kama west Africa
 

Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.

Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.

Imepewa nchi si yeye [emoji23][emoji23]
 
Iyo EAC ina faida gani kwa TZ tuanze apo kwanza
 
Mfano mwenyekiti wa Chadema huu ni mwaka wa 40 madarakani ila chawa wake wanampambania tu abakie madarakani.
CCM ina miaka mingapi bado CHAWA mnang'ang'aza Madarakani??? Chadema hata miaka hiyo uliyotaja haijafikisha.
 
Ni mbishi kweli kuachia madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…