Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu hiiViongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.
Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Uangozi wa jumuia unazunguka, siyo kuwa walimchagua bali ilikuwa ni zamu ya nchi yake. Tatizo ni yeye kuwa kiongozi wa nchi yake.
Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.
Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Duh aibu niliiiona mimiHapo sio kwamba haoni bali ubongo ushakuwa dhaifu...
hizi Regional Block za Africa ni Gentlemen Club, hakuna kitu hapoViongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.
Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Na mipombe hapo unaweza Kuta mi hangover mixa kakutana na totoz ya kimbulu kajichokea fisadi huyo dawa yao kuwafurusha tu kama west AfricaIssue siyo ugonjwa. Ni umri umeeenda. Jinga sana hílií
Bila shaka Hilo zee ni Levi tu umri huo unajikojolea kweli?Anasumbuliwa na ugonjwa gani?
Mkuu unaijua dayabetesi wewe hapana chezea waweza draivu live mbele za kadamnasiBila shaka Hilo zee ni Levi tu umri huo unajikojolea kweli?
Waliompa huo uongozi wa Jumuiya ndio wananishangaza zaidi.
Huyu Rais amejikojolea hadharani wameona, ameenda Urusi akashindwa hata kuongea wameona. Bado wamempa uongozi wa jumuiya? Afrika ni kama ina laana.
Imepewa nchi si yeye [emoji23][emoji23]
Na mimi si nimesema angelepeleka muwakilishi au?Kama unajijua ni mgonjwa kwa nini uende mkutanoni? Si angemtuma Makamu wake!!
CCM ina miaka mingapi bado CHAWA mnang'ang'aza Madarakani??? Chadema hata miaka hiyo uliyotaja haijafikisha.Mfano mwenyekiti wa Chadema huu ni mwaka wa 40 madarakani ila chawa wake wanampambania tu abakie madarakani.
Hiyo nchi utawala wa sheria ni kama hakunaUpuuzi mtupu sasa kama rais yupo hivi vp wananchi huko wana hali gani?