Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Someone who tells another man "You claim to be a player but I fd your wife" you call him genius?

Some one who mocks a person with sickle cell you call him genius?

Bro I am so disappointed in you.
 
U have spoken my mind. Tupac alikuwa anatukana watu matusi ya nguoni na nyimbo zake nyingi alikua anaimba kuhusu kufa kufa tu halafu mtu anamuita eti genius. Me mwenye we nimemshangaa huyo jamaa
 
29 years mtu yupo kaburini na bado anajadiliwq kwenye majukwqa ambayo hata hakuwahi kuyajua!
That's what we call legacy, the guy was talented and extremely unique.
 
Labda he was unique kwa sababu ya utata wa kifo chake zaidi kuliko kipaji chake
 
Someone who tells another man "You claim to be a player but I fd your wife" you call him genius?

Some one who mocks a person with sickle cell you call him genius?

Bro I am so disappointed in you.
Aisee umewah kusikia nyimbo zake zingine?
 
Labda he was unique kwa sababu ya utata wa kifo chake zaidi kuliko kipaji chake
Notorious Big alikufa kifo kinachofanana na Tupac, lakini hajawahi zungunziww kama tupac! Sikiliza mashairi ya nyimbo za tupac utaona jinsi jamaa alivyokuwa beyond time
 
Sikubaliani na wewe. Tupac was overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…