Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

miaka 20 anastudy wimbo wa msanii? hii dunia kuna watu wana kazi ngumu sana
 
Duuh kumbe alikua na mapepo!!
KAZI ni kipimo cha utu
Ukitazama video za jamaa hajasema Tupac alikuwa na ma pepo, isipokuwa wakati anarekodi wimbo huo alikuwa amevamiwa na pepo.

Hata ukisoma bible kuna verse Yesu anamuita Petro shetani baada ya Petro kuongea maneno Fulani. So kwa muda huo ambao Petro alikuwa anaongea na Yesu maneno ha you alikuwa amepandwa na shetani.
 
Aisee, Mimi naona kuwa mtu akiwa na kipaji Fulani halafu akatumia kipaji chake Kwa kiwango cha juu sana lazima aonekane Kwa namna tofauti na watu.
Yes you are right lakini ukitazama video za huyu mwamba lazima ukubaliane nae kwa asilimia nyingi Sana. Hoja zake zinambeba Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…