VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika;

"Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa ukizingatia kuwa wengi wetu tumetokea kwenye mazingira kama yake."

"Kupitia kijana huyu, natumia fursa hii kuwaomba vijana wengine 19, ambao wana ndoto kama yake wafike ofisini kwangu ili niwasaidie kutimiza malengo yao."

"Kufanya hivi ni sehemu ya shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu aliyeniwezesha kukutana na watu walionishika mkono hadi nikatimiza ndoto zangu."

"Kwa yeyote anayemfahamu kijana huyu, familia yake, au majirani zake, naomba amfahamishe afike ofisini kwangu kesho. Vilevile, kama kuna kijana mwingine mwenye ndoto ya kwenda VETA ili kujikwamua kimaisha, na yeye afike ofisini kwangu kesho saa nne asubuhi."

IMG_3535.jpeg
 
View attachment 3272854
View attachment 3272857
Awatafute haohao waliomuhoji,ni Jambo jema Makonda!
 
Back
Top Bottom