Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Nafikiri timu zitampoteza kiba! ajifunze kwa mwenzie mond kipindi kile zile timu wema,timu joketi,timu kiba walipoungana kumshusha, jamaa alikomaa ile mbaya sijui zile timu ziliishia wapi!......mshikaji alizidi kuchanja mbuga bila kumshutumu mtu.......

Kiba hebu awe serious kama kipindi anafanya collabo na r- kelly atatoboa sana.....
Vilevile kama ulizungumzia hasira za kushushwa sio vibaya ukaomba radhi ingawa timu yako watakubeza
 
William Tuvu amekulia Tanzania ndio maana Bongo anaijuwa inside out. Habari ndiyo hiyo.
Baaasi jamaa huyu nimekubali kuanzia sasa ntaanza kumfatilia, anajua anatangaza nini na anataka nini na wasikilizaji wake wanataka nini.
 
Hiv mkuu unajua backstage kweli?? Dj anakaa backstage kweli?? Dah umenisononesha sanaa
 
Kwa hili Kiba ni mjinga ,
1.Alishasema Diamond anahonga apewe tuzo,unakubaliana nae ?

2.Alishasema hana beef na Diamond ,mbona anamuogopa Salam ?

3.Juzi kasema Salam ameenda kumzimia mic,na hili unakubaliana nalo ?
Ila mwenzake juzi juzi kaomba mashabiki wote wa muziki Tanzania kumpigia kura bila kuendekeza u-Team ili muziki wa Bongo upate heshima kimataifa...

Hakuna kitu kibaya na kinauma kama kuwa na bifu na mtu alafu yeye kama hajali vile... Unatumia muda mwingi kupambana na mtu ambaye haoni kama una hadhi ya ku-battle naye...
 
Anajifanya hajapaona wala kupasikia hapo wakati ishu iko wazi tena kasema kabisa managar wa wizkid ndo manager wa diamond west africa
 
Meneja sio shows pekee mkuu, babu Tale anasimamia usambaaji wa Diamond hits nchi nzima. Labda nikuulize ni wimbo gani mpya wa Diamond uliwahi kukaa walau siku mbili haujagusa angle za Tanzania nzima? Ni mara ngapi nyimbo za diamond hupewa airtime kwenye local stations?
 
Jamani sallam hakuwa Backstage..alikuwa kwenye zile Rooms za kule ghorofani kwenye kona...Hebu isikilize hiyo video vizuri urejee na zile clip zilizorushwa na Mseto wakati wa show...

Huku ni Jamii forums sio Instagram huko na facebook..humu ni Fact tu,kama huwezi kuangalia hiyo video mpaka mwisho kaa kimya
 
hujamsikiliza vzuri sallam sk
 
he he he najua wewe ni Domo najua hapo moyo wako kwatuuuuuu kabisa
yani moyo wa baridiiiiiiiiii... kama nmekunywa barafu..
kiba hana cha kunivutia zaidi ya miziki yake..
sio mambo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kiba ana mambo ya kijinga sana [emoji23][emoji23]
 
Mimi namkubali sana Ali ila hapa umekosea mkuu. Kumtuhumu moja kwa moja jamaa umekosea. Sisi wote watanzania tukae tuyazungumze yaishe tuendelee kupiga hatua zaidi.
Wakati mnamtukana mbona hamkutaka kukaa chini kuyajenga? Au ndio yale kunya anye bata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…