Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Ajikwezae,... Huyu mtoto Hana menejiment, Kama anayo haijui kazi yake..... Na ndo maana huyu mjinga salaam anaipangua anavyotaka.....Alikiba ni mkubwa kuliko wizkid kiumri? Au ukubwa gani?
Next, kiba anahitaji msemaji na mashauri...hawezi interviu