Video: Samia amtambulisha mwanae Wanu Hafidh kwa bwebwe. Geuka wakuone, hawajakuona, anafanana na nani .?

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
 
Hiki ni kijembe kwa sababu lengo hapo ninini?
 
Kawasikia mliyokuwa mnayaongea ila hamna chakumfanya..ndo kashateaua hivyo na akiamua kesho anakuwa Waziri mkuu na hamna chakumfanya😁😁😁😁Aliegundua mijegejo katukosea sana.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
Muuaji katika ubora wake. Laana imemkaba anaongea utumbo tu.
 
Kafanana na kahaba moja nililoliopoa mwaka 2010 pale kimboka by night,buguruni
 
Wanu Hafidh Ameir ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020. Amechukua shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Ni mtoto wa rais wa sita wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Wikipedia
Tarehe ya kuzaliwa: 9 Februari 1982
Mahali alikozaliwa: Mkoa wa Unguja Kusini
Mpenzi: Mohamed Omary Mchengerwa
Wazazi: Samia Suluhu Hassan
Cheo cha awali: Mwakilishi wa Baraza la Zanzibar (2016–2020)
Chama: Chama cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom