Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Muhtsari
Serikali ya Djibouti imeamua kuvunja mkataba wa uendeshaji wa bandari ya Doraleh iliyokuwa inasimamiwa na kampuni ya DP World kutoka Falme za Kiarabu. Hatua hii imefuatia uchunguzi uliofanywa na serikali hiyo uliobaini kuwa mkataba huo ulikuwa na masharti yasiyo na tija kwa taifa la Djibouti na ulikuwa umeingiwa kwa njia ya rushwa na aliyekuwa mkuu wa bandari.
Serikali ya Djibouti imesema kuwa imefungua kesi dhidi ya DP World kudai fidia na kurejesha mali zake zilizokuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo. Serikali pia imesema kuwa itatafuta mshirika mpya wa kuendesha bandari hiyo muhimu kwa uchumi wa nchi hiyo na ukanda mzima.
Pia soma |
- Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
- Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
- Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba