imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa ni makosa ya nani ni DPWORLD au Jamhuri ya Ndezi?Wazungu unawalinganisha na Waafrica?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni makosa ya nani ni DPWORLD au Jamhuri ya Ndezi?Wazungu unawalinganisha na Waafrica?
Somaliland ni sehemu ya Somalia, hutaki unaacha.Somalia ni muungano wa Nchi mbili Somali British Protectorate na Somali Italiana wametengana baada ya vita vya muda mrefu
DPWORLD wamewekeza Somaliland South Somalia wakakataa nadhani utakuwa umeelewa japo kiduchu.
Serikali ya Djibouti imeamua kuvunja mkataba wa uendeshaji wa bandari ya Doraleh iliyokuwa inasimamiwa na kampuni ya DP World kutoka Falme za Kiarabu. Hatua hii imefuatia uchunguzi uliofanywa na serikali hiyo uliobaini kuwa mkataba huo ulikuwa na masharti yasiyo na tija kwa taifa la Djibouti na ulikuwa umeingiwa kwa njia ya rushwa na aliyekuwa mkuu wa bandari. [emoji419][emoji375]Muhtsari
- Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
- Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
- Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba
Serikali ya Djibouti imeamua kuvunja mkataba wa uendeshaji wa bandari ya Doraleh iliyokuwa inasimamiwa na kampuni ya DP World kutoka Falme za Kiarabu. Hatua hii imefuatia uchunguzi uliofanywa na serikali hiyo uliobaini kuwa mkataba huo ulikuwa na masharti yasiyo na tija kwa taifa la Djibouti na ulikuwa umeingiwa kwa njia ya rushwa na aliyekuwa mkuu wa bandari.
Serikali ya Djibouti imesema kuwa imefungua kesi dhidi ya DP World kudai fidia na kurejesha mali zake zilizokuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo. Serikali pia imesema kuwa itatafuta mshirika mpya wa kuendesha bandari hiyo muhimu kwa uchumi wa nchi hiyo na ukanda mzima.
Walishajitoa kwenye Muungano 18 may 1988 huwezi ukawalazimisha kama ndezi wa Tanganyika.Somaliland ni sehemu ya Somalia, hutaki unaacha.
Hata hivyo nashukuru haujapinga kwamba DP World imefukuzwa Somalia.
Wasikilize Djibouti kuhusu mkataba wao na DP World utagundua hoja wanazolalamika wao Leo ndio hizo hizo hoja ambazo sisi tunapigia kelele leo.But bado wapo watanzania wachache hawaoni kabisa mapungufu ya mkataba huu.Imagine hawa wameshindwa hata kujifunza mapungufu ya mkataba huu kwa wenzetu.Kweli Rushwa hupofusha machoAisee
Wangewatapeli The United Kingdoms and Great Britain?
Hizo ni policy za kampuni kupunguza wafanyakazi nk.![]()
DP World’s controversial history of P&O ownership
Analysis: The economic model of the firm, ultimately owned by Dubai royalty, was under question even before the mass sackingswww.theguardian.com
Hakuna taifa linaloitambua Somaliland kama nchi huru, kama lipo litaje.Walishajitoa kwenye Muungano 18 may 1988 huwezi ukawalazimisha kama ndezi wa Tanganyika.
Tena wamejitoa kwenye muungano kwa kutumia mtutu wa bunduki
Great Britain unalinganisha na Africa , we popoma kweliWangewatapeli The United Kingdoms and Great Britain?
Wasipolipa nini kitawapata? Mniwie radhi kwa Maswali lengo nataka kujua kama tunaweza kusimama juu ya "makali ya kisu" kama tulivyokwepa MIGA!Wameamriwa walipe.
Wana balozi Kenya Djibuti na Passi zao za kusafiria UK inazitambua.Hakuna taifa linaloitambua Somaliland kama nchi huru, kama lipo litaje.
Nashukuru hujakanusha kwamba DP World ilifukuzwa kule Somalia.
Zitashikiliwa mali zao.Wasipolipa nini kitawapa? Mniwie radhi kwa Maswali lengo nataka kujua kama tunaweza kusimama juu ya "makali ya kisu" kama tulivyokwepa MIGA!
Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Huenda hizi zikawa ni dalili za mwanzo wa mwisho wa fisiemu.Wasikilize Djibouti kuhusu mkataba wao na DP World utagundua hoja wanazolalamika wao Leo ndio hizo hizo hoja ambazo sisi tunapigia kelele leo.But bado wapo watanzania wachache hawaoni kabisa mapungufu ya mkataba huu.Imagine hawa wameshindwa hata kujifunza mapungufu ya mkataba huu kwa wenzetu.Kweli Rushwa hupofusha macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingia mikataba ya uwekezaji hakuifanyi Somaliland kuwa taifa huru.Wana balozi Kenya Djibuti na Passi zao za kusafiria UK inazitambua.
Kama Taiwan vile inaingia mikataba bila wasiwasi.
Una IQ hafifu sana umesahau hata lengo la mjadala huu.Great Britain unalinganisha na Africa , we popoma kweli
Hii nchi inaelekea kubaya sana.Kuna kipindi inabidi watu wafanye makosa makubwa kama haya ambayo wameingia, ili walane nyama na vichwa wenyewe kwa wenyewe.. Ni swala la mda ngoma itaitika
=Kwa Kiswahili=![]()
DP World’s controversial history of P&O ownership
Analysis: The economic model of the firm, ultimately owned by Dubai royalty, was under question even before the mass sackingswww.theguardian.com
Chawa!Muacheni Rais Dkt Samia anemeeshe nchi kupitia DP World
Kwahio waingereza hawakujua hizo Policy mpaka wakaja kulalamika baadae ?!!!Hizo ni policy za kampuni kupunguza wafanyakazi nk.
Kinachotakiwa ni kuwa makini kwenye vipengele vya mkataba.
Somaliland ni taifa huru liliingia kwenye Muungano kwa hiari yake tena bila maandishi na 18 may 1988 wakaamua hiari yao kujitoa kwenye muungano wewe Mtanganyika yako yamekushinda usiwaingilie Wasomali hao.Kuingia mikataba ya uwekezaji hakuifanyi Somaliland kuwa taifa huru.
Nashukuru hujakanusha kwamba DP World ilifukuzwa Somalia.