Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

Kama kuna vipengele ambavyo sio fare au tunahisi vinatubana tuvirekebishe, lakini sio kumuangushia jumba bovu mwekezaji.

Kama sisi wenyewe hatujiwezi kuingia mikataba tusilaumu failures zetu kwa watu wengine.
 
Mbona DPWORLD kawekeza Rwanda na hakuna kelele za Waturage?
 
Hiyo stori ni ya siku nyingi na Djibouti ameshashindwa kwenye mahakama ya kimataifa.
That means we are [emoji533][emoji97]ed
FB_IMG_16878398542923904.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16880470074273146.jpg
    FB_IMG_16880470074273146.jpg
    30.3 KB · Views: 4
Sikuizi uwekezaji ni ufisadi mkubwa sana hasa wa kutegemea wageni ...ufisadi unafanyika kwenye mikataba
Wewe jali ajira, kweni mikataba iliyopita wewe umeumbilia nini, si ni hao hao wa juu ndio wanapiga na kujilimbilizia mali.

Ripoti zote za ofisi ya CAG inaupigaji mbona hulalamiki

Katiba mbovu inayowapa CCM mamlaka ya kimungu mbona huibebei bango?
 
Naomba Definition ya Tapeli.
Kusema hautafanya kitu alafu ukakifanya...; hio ni moja ya features ya Utapeli (Katika makubaliano mtu anadhani anapata machungwa lakini badala yake anapata Sungwi let alone Chenza)

However, the ports were always its key target: Bin Sulayem admitted then that he had limited knowledge of the ferry business that came alongside, but denied he had plans to sell them off. They were however sold to a separate state-owned entity, Dubai World, around the time of the financial crisis, before DP World bought them back for $322m (£244m) in 2019.
 
Hizo ni Mbinu za Biashara "UTAPELI" ni kosa la jinai katika Nchi zote za Dunia.
 
Wewe jali ajira, kweni mikataba iliyopita wewe umeumbilia nini, si ni hao hao wa juu ndio wanapiga na kujilimbilizia mali.

Ripoti zote za ofisi ya CAG inaupigaji mbona hulalamiki

Katiba mbovu inayowapa CCM mamlaka ya kimungu mbona huibebei bango?
Kwenye dunia ya automation unadhani hizo ajira zitatoka wapi ?!!! Hilo tu lingetufanya haya mambo tufanye wenyewe ili kinachopatikana hapo tuweze kuwasaidia ndugu zetu wabangaizaji wanaotemwa na vyuo kila mwaka..., Au hao watu watapata ajira za kwenda kuwauzia mia kadhaa uji wanaoperate hizo machinery ?
 
Hizo ni Mbinu za Biashara "UTAPELI" ni kosa la jinai katika Nchi zote za Dunia.
No matter what you call it naangalia outcomes - kuna kipindi hata utumwa ulikuwa legal duniani (does not make it right); kwahio huku umekubaliana nao kwamba mbinu zao za Biashara wataziacha huko huko kwao ?
 
Kwenye dunia ya automation unadhani hizo ajira zitatoka wapi ?!!! Hilo tu lingetufanya haya mambo tufanye wenyewe ili kinachopatikana hapo tuweze kuwasaidia ndugu zetu wabangaizaji wanaotemwa na vyuo kila mwaka..., Au hao watu watapata ajira za kwenda kuwauzia mia kadhaa uji wanaoperate hizo machinery ?
Kuna Dar Port kuna ile Conteiner terminal pale Vigwaza kuna Isaka Dry port zote ajira hizo kumbuka volume ya mizigo ikiongezeka na makampuni ya usafirishaji yataongezeka zote ajira hizo na kuna indirect nyingi sana.

Mimi ni mdau ndio maana nakuambia.
 
No matter what you call it naangalia outcomes - kuna kipindi hata utumwa ulikuwa legal duniani (does not make it right); kwahio huku umekubaliana nao kwamba mbinu zao za Biashara wataziacha huko huko kwao ?
Huwezi kula tu kubali nawe uliwe japo kiduchu. Give n take ma niga
 
Back
Top Bottom