PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mpuuzi huyu Bora amekufa
 
Good riddance to bad rubbish.
 
Kanyamazishwa yeye milele🤣
 

Kazimwa yeye sasa
 
WATU WAMEJAA CHUKI ZILIZOPINDUKIA MIPAKA,
MTU ANAKUFA UNAMDHIHAKI
HAKUNA UUNGWANA TENA
TUMEJAA CHUKI MPAKA TUMEBAGUANA KWENYE VYAMA, KWENYE DINI, KWENYE KIKANDA.

HATUTOFANIKIWA MILELE MILELE MILELE
 
Kikosi cha kukomesha mpaka wakome kabisa kikapita naye hakuna cha majini wazuri wala maruhani. Life is spiritual shetani anamchekea huko anakowaka moto mkali kuzimu.
 
Huyu Sheikh, jina lenyewe ni utata mtupu, Sheikh Majini, mapepo, masehtani.
Atasurvive vipi?
 
Alidhani ataishi milele
kiburi na ujivuni wake ndo umemuua kapewa chuma na majini yake!
 
Safi sana aliyemlenga aje nimpe buku 3 akanywe supu
 
mfano halisi wa Mungu hadhihakiwi!
Muslims simamieni ukweli acheni kujikausha wakati mnajua hakuna kiongozi mkuu mwanamke katika vitabu vyenu huko! mnajitoa fahamu kisa Mwislamu mwenzenu na anawapa hela za DAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…