PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yeye sio bendera fuata upepo ila bado amekufa kama kuku
 
Samia mwenyewe hata rambirambi hajatuma. Mbali na Samia hata CCM hawajatuma rambirambi.
 
Mimi sikutaka mbwembwe, nililikimbia jiji na majiji
 
Walio mchapa shaba huyo muhuni walifanya jambo jema sana ....mashekh wengi tanzania ni wapumbavu kuliko wavuta bange...😁😁😁😁😁🎯
 
Eti mimi nimeondoka nyumbani nimekunywa supu +chapati 3.
 
WATU WAMEJAA CHUKI ZILIZOPINDUKIA MIPAKA,
MTU ANAKUFA UNAMDHIHAKI
HAKUNA UUNGWANA TENA
TUMEJAA CHUKI MPAKA TUMEBAGUANA KWENYE VYAMA, KWENYE DINI, KWENYE KIKANDA.

HATUTOFANIKIWA MILELE MILELE MILELE

..sio sahihi kumdhihaki mtu aliyepoteza maisha.

..lakini marehemu alikuwa kundi moja na Shekhe Mwaipopo, na Shekhe Hamid Jongo, ambao wamekuwa wakipiga propaganda mbaya dhidi ya wanaodai haki na demokrasia.

..Shekhe aliyefariki angekuwa a neutral au mpatanishi baina ya makundi yanayosigana nina hakika watu wasingemtolea kauli mbaya baada ya kifo chake.
 
Kumbe ndiye huyu Shekhe aliyemiminiwa risasi na Mapolisi?!
 
Hizi ndio akili za kina THE BIG SHOW kuhusi wpo salama Kwa kuegemea upande wa serikali pasipokujua nao kinaweza kuwalamba
 
Safi sana, bila shaka huko alipo majini yatakuwa yamepata mahali sahihi pa kuishi na sio hapa Tanganyika
 
Duuuuuh.....

Ameamka na supu, chapati tatu, chai na maji, nchi ni nzuri, tusiivuruge.

Halafu mnalalamika kina dada wachache wako nje ya nchi wana ushawishi kushinda viongozi.

Chukueni mgodi, kitalu, bandari na tenda za jeshi.

Nipeni supu, chapati, chai na amani.

Unashindana vipi na hoja kama hizo za chai chapati kwenye ulimwengu wa leo wa akili mnemba ?

Wasemaji wa CCM na serikali, masikini ya Mungu, wanashindwa kushawishi Watanzania, wanashindwa ku connect, au kuzifikia hearts and minds za Watanzania. Matokeo yake wanatumia bunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…