Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza rasmi jana Agosti 17,2026.

downloadfile-184.jpg
 
Utaratibu mzuri ni stendi iheshimiwe mabasi yaanzie hapo safari na si yapaki!?,pia ofisi za mizigo ambazo ndio zilikuwa za mabasi zibakie na kazi ya vifurushi,aidha gari ianzie kwenye vifurushi ndipo iende mbezi baada ya hapo ikute booked pesengers ipakie chap isepe!
 
Yaani hawa matajiri wenye mabasi wana shida sana. Hakuna aliewqambia waje kuegesha magari yao yote hapo. Wanatakiwa kupakia na kushusha hapo. Kuegesha au kuservice magari yao ni huko kwemye yard zao. Na hizo yard zisiwe mitaa ya makazi ya kawaida.
Mfano train za SGR zote zikija hapo SGR central station zitatosha? Zinaeheshwa kule Pugu au Ngerengere, station kuu zinakuja kupakia na kushusha tu.
 
Hako kakinywaji kwa profile yako kalale pema peponi...kametusaidia sana na baridi ya mbeya tukienda shule.
 
Yaani hawa matajiri wenye mabasi wana shida sana. Hakuna aliewqambia waje kuegesha magari yao yote hapo. Wanatakiwa kupakia na kushusha hapo. Kuegesha au kuservice magari yao ni huko kwemye yard zao. Na hizo yard zisiwe mitaa ya makazi ya kawaida.
Mfano train za SGR zote zikija hapo SGR central station zitatosha? Zinaeheshwa kule Pugu au Ngerengere, station kuu zinakuja kupakia na kushusha tu.
Wamefanya mnachotaka mnaanza kulalamika.
 
Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza rasmi jana Agosti 17,2026.

Yes,
huo ndio utaratibu wa tangu kuanzishwa kwa terminal hiyo ya kimataifa,
lazima mabasi yote ya mikoani yaanzie safari zao Magufuli terminal na yakitokea mikoani lazima yafikie kwanza Magufuli terminal kabla hayajeelekea watakako wamiliki 🐒
 
Wenzetu Kenya wangeandamana hapo mambo yangekaa kwenye mstari ila huku thubutu imeisha hiyoo
Hatimae vibaka wa Mbezi wanaenda kunenepa sasa
 
Back
Top Bottom