Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nashindwa kuelewa
kwa lafudhi ya kisukuma!Nashindwa kuelewa
😂😂😂😂kwa lafudhi ya kisukuma!
Yaani hawa matajiri wenye mabasi wana shida sana. Hakuna aliewqambia waje kuegesha magari yao yote hapo. Wanatakiwa kupakia na kushusha hapo. Kuegesha au kuservice magari yao ni huko kwemye yard zao. Na hizo yard zisiwe mitaa ya makazi ya kawaida.Utaratibu mzuri ni stendi iheshimiwe mabasi yaanzie hapo safari na si yapaki!?,pia ofisi za mizigo ambazo ndio zilikuwa za mabasi zibakie na kazi ya vifurushi,aidha gari ianzie kwenye vifurushi ndipo iende mbezi baada ya hapo ikute booked pesengers ipakie chap isepe!
Nashendwa kuwelewa ,nachungu nachungu sana.
Nashindwa kuwaelewa.
Hako kakinywaji kwa profile yako kalale pema peponi...kametusaidia sana na baridi ya mbeya tukienda shule.Utaratibu mzuri ni stendi iheshimiwe mabasi yaanzie hapo safari na si yapaki!?,pia ofisi za mizigo ambazo ndio zilikuwa za mabasi zibakie na kazi ya vifurushi,aidha gari ianzie kwenye vifurushi ndipo iende mbezi baada ya hapo ikute booked pesengers ipakie chap isepe!
Wamefanya mnachotaka mnaanza kulalamika.Yaani hawa matajiri wenye mabasi wana shida sana. Hakuna aliewqambia waje kuegesha magari yao yote hapo. Wanatakiwa kupakia na kushusha hapo. Kuegesha au kuservice magari yao ni huko kwemye yard zao. Na hizo yard zisiwe mitaa ya makazi ya kawaida.
Mfano train za SGR zote zikija hapo SGR central station zitatosha? Zinaeheshwa kule Pugu au Ngerengere, station kuu zinakuja kupakia na kushusha tu.
Yes,Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza rasmi jana Agosti 17,2026.