Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize kwa makini huyu jamaa na utaelewa kuwa hawa M23 ni Wanyarwanda wenyeji wa DCR kwa makarne. Pia wanaitwa Banyamulenge. Ni raia wa DRC na wala si kutoka Rwanda.
Safi sana
Ukabila unaopaliliwa na Mr. Slimissue ni ukabila tu ndio unatumaliza waafrika. Hata Lumumba alipingwa mapema sana kisa ukabila!!
Msikilize kwa makini huyu jamaa na utaelewa kuwa hawa M23 ni Wanyarwanda wenyeji wa DCR kwa makarne. Pia wanaitwa Banyamulenge. Ni raia wa DRC na wala si kutoka Rwanda.
Sawa na Wamasai wa TZ na Kenya. Kama Wamasai wa Kenya wakiteswa na kuuawa unafikiri wenzao wa TZ watakaa kimya? Ndivyo Wanyarwanda wa DRC na Rwanda hawawezi kutengwa
Unapenda kubishana..mbona Wamaasai wa Tanganyika wanateswa kwa kufukuzwa ktk maeneo yao lakini Wamaasai wa Kenya hawaanzishi vita?
Mwl. Nyerere hakuelewana na Mobutu kwa sababu ya Banyamulenge. Wakoloni walipogawa mipaka ya makoloni yao, hawakufikiria issue ya makabila.Nimemuelewa sana huyu mwamba, issue ni ukabila tu ndio unatumaliza waafrika. Hata Lumumba alipingwa mapema sana kisa ukabila!!
Sema huko mbele eneo la watutsi waishio Kivu watengewe vijiji vyao na vijiunge na Rwanda or rather a unified Rwanda, Burundi and Kivu.
Otherwise itakua kama tu Kurds kule Syria, Turkey na Iran
Hiyo sio suluhu ni sawa na kusema wajaluo wa Kenya wamegwe wawe sehemu ya Rorya au wa Masai wa Tz wamegwe eneo lote Arusha liwe Kenya. Ukabila haukomei kumega eneo. Maana wanaweza kuishi watu kwa uhuru na amani mahali walipo. Hicho kinachoguswa si mgogoro wenyewe, mgogoro ni kuruhusu kufarakanishwa na wakoloni wa kisasa ili waibe mali za Congo na kwa ujinga wanakubali tangu viongozi wa vikundi na serkali.Nimemuelewa sana huyu mwamba, issue ni ukabila tu ndio unatumaliza waafrika. Hata Lumumba alipingwa mapema sana kisa ukabila!!
Sema huko mbele eneo la watutsi waishio Kivu watengewe vijiji vyao na vijiunge na Rwanda or rather a unified Rwanda, Burundi and Kivu.
Otherwise itakua kama tu Kurds kule Syria, Turkey na Iran
Hii sababu siikubali? Kwani hao wazungu mbona wanapora madini yetu hapa kwa mikataba mibovu. Imagine dhahabu yetu wanachukua 84% ya faida bila kufadhili kikundi cha kigaidi sasa unadhani wangepewa mkataba wa madini huku bado watoe fedha za silaa hauoni faida inakuwa ndogo kuliko nchi ikiwa na amani??Hiyo sio suluhu ni sawa na kusema wajaluo wa Kenya wamegwe wawe sehemu ya Rorya au wa Masai wa Tz wamegwe eneo lote Arusha liwe Kenya. Ukabila haukomei kumega eneo. Maana wanaweza kuishi watu kwa uhuru na amani mahali walipo. Hicho kinachoguswa si mgogoro wenyewe, mgogoro ni kuruhusu kufarakanishwa na wakoloni wa kisasa ili waibe mali za Congo na kwa ujinga wanakubali tangu viongozi wa vikundi na serkali.
Liangalieni hili lishetani; limejaa chuki, wivu, roho mbaya, ghirba na uzushi. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni mpango wa Mungu hivyo nyie mashetani hata mjitahidi kwa nguvu kubwa kiasi gani kuchochea hamtomuweza. Mnakutana na kigingi Cha Mungu dakika hiyohiyo...mbona Wamaasai wa Tanganyika wanateswa kwa kufukuzwa ktk maeneo yao lakini Wamaasai wa Kenya hawaanzishi vita?
Hiyo angeifanya haraka ili anyooshwe tuchukue kile kijiji kinachoitwa nchi ili Congo patulie, wanamkuza sana na kijiji chake, najua wajeda wanamtamani sana wamfyeke nae ni mjanja hagusi hata sentimita moja ya tzPale ngara na sehemu Fulani hivi karibu na mizani,Kuna kabila wanajiita waangaza,wale nao ni warwanda tu,naona ipo day Mr slim atademand eneo linalokaliwa na watu wake!!!
Ngara yote kigoma yote wale sio wenzetu,murugwanza,rulenge,mukididiri,kumejaa wanyarwanda tuPale ngara na sehemu Fulani hivi karibu na mizani,Kuna kabila wanajiita waangaza,wale nao ni warwanda tu,naona ipo day Mr slim atademand eneo linalokaliwa na watu wake!!!
Tatizo bado hata wakitengewa vijiji shida sio hiyo.Shida ya hao walowezi wao wanataka kujimilikisha UTAJIRI ULIOPO KIVU.Nimemuelewa sana huyu mwamba, issue ni ukabila tu ndio unatumaliza waafrika. Hata Lumumba alipingwa mapema sana kisa ukabila!!
Sema huko mbele eneo la watutsi waishio Kivu watengewe vijiji vyao na vijiunge na Rwanda or rather a unified Rwanda, Burundi and Kivu.
Otherwise itakua kama tu Kurds kule Syria, Turkey na Iran
Tangu dunia iumbe kila mbabe anajiwekea mipaka hata hao watu wa zamani before colonialism ilikuwa ni VITA daily na mwenye nguvu anatawala🤝Oh,I have got a concept now.these artificial boundaries have caused troubles a lot.colonialism is indeed a case