Congo kuna makabila 438, taja kabila lipi linakandamiza kabila lingine.
Hayo ni maneno tu ya propaganda.
Hao unaosema wanaonewa ndiyo wavunjifu wakuu wa haki.
Congo ni nchi ya pygmies kiasili kama ilivyo Tanzania. Bantu (ambao ni warefu, wenye nguvu na wakulima) wamewaondoa na wanaendelea kuwaondoa pygmies na kuwamaliza katika misitu ya mvua ya Congo.
Bantus ambao ni wakulima nao wanaondolewa katika maeneo yao na Nilotics ambao ni wafugaji. Wanaingilia ardhi yao na kuiharibu kwa kutumia mifugo yao.
Hii ipo sehemu nyingi Africa. Plateau Region ya Nigeria sasa inaingiliwa na Fulanis, ia wakulima wa Ghana, wakulima ifakara, Rufiji, Chalinze etc. sehemu nyingi tu jamii za wafugaji wa kiafrika zinawaonea wakulima na kunakuwa na mauaji.
The same principle ndiyo ipo Rwanda.