Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui umeandika nini. Hoja yako ni nini? Kwamba kuwaunganisha watusi walioko Congo ndio suluhu? Ok. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yalikuwa Watuso na wahutu ndani ya nchi moja kwa hoja yako hiyo walitakiwa kila kabila kiqe nchi yake?Hii sababu siikubali? Kwani hao wazungu mbona wanapora madini yetu hapa kwa mikataba mibovu. Imagine dhahabu yetu wanachukua 84% ya faida bila kufadhili kikundi cha kigaidi sasa unadhani wangepewa mkataba wa madini huku bado watoe fedha za silaa hauoni faida inakuwa ndogo kuliko nchi ikiwa na amani??
Hii hoja tunapenda kuitumia kujitia moyo tu ila DRC bila vita bado wangeporwa tu madini kupitia mikataba mibovu kama tu Tanzania tulivyopigwa kwenye gesi, dhahabu na Tanzanite.
Narudia tena, suluhu ni kuunganisha Rwanda na maeneo yenye majority HEMA kuanzia kule Ituri mpaka Bukavu. Itapunguza tension na kuwapa watu self determination kujitawala.
Ile mipaka ilikuwa kwa ajili ya biashara zao. Kama vile unapoweka mipaka ya shamba kwanmanufaa ya mazao yakoMipaka ya mkoloni ilifànywa kwa makusudi ije kuzua matatizo.
Wagawe uwatawale.
Viongozi waafrika Wanaokubali kufarakanishwa ni sababu ya raslimali za Congo na wao ni wanufaika pamoja na wazungu. Hii ndiyo neo colonialism at work with petty bourgoisie soma kitabu cha silent struggle cha Issa ShivjiHiyo sio suluhu ni sawa na kusema wajaluo wa Kenya wamegwe wawe sehemu ya Rorya au wa Masai wa Tz wamegwe eneo lote Arusha liwe Kenya. Ukabila haukomei kumega eneo. Maana wanaweza kuishi watu kwa uhuru na amani mahali walipo. Hicho kinachoguswa si mgogoro wenyewe, mgogoro ni kuruhusu kufarakanishwa na wakoloni wa kisasa ili waibe mali za Congo na kwa ujinga wanakubali tangu viongozi wa vikundi na serkali.
Hii hoja mfu sana.Kama tumeshakubaliana na mipaka waliyotuwekea Wakoloni basi Mmasai aliye ndani ya mipakaya Tanzania ni Mtanzania na aliyepo Kenya ni Mkenya. Hakuna tena Mtanzania wa Kenya wala Mkenya wa Tanzania. Kama kuna kabila sehemu wapo Rwanda na sehemu wapo Tanzania basi waliopo Rwanda ni Wanyarwanda na waliopo Tanzania ni Watanzania,kama hataki kuwa Mtanzania basi aende ndani ya mipaka ya Rwanda and vise versa.Vivo hivyo kwa Wamakonde,Wanyasa,Wajaluo n.k.Ngara yote kigoma yote wale sio wenzetu,murugwanza,rulenge,mukididiri,kumejaa wanyarwanda tu
Huyu anasema wakazi wa Goma wanawashangalia M23 wakiingia mjini. Anadhani wananchi wao ni wajinga wakae kimya katika hali hiyo ya Vita, wanyamaze wasimpokee mtawala mpya? Kwani hawajipendi? Hata leo ikatokea jeshi la Congo likaurejesha mji bado wananchi haohao watashangilia
Niamini Mimi hatadaiPale ngara na sehemu Fulani hivi karibu na mizani,Kuna kabila wanajiita waangaza,wale nao ni warwanda tu,naona ipo day Mr slim atademand eneo linalokaliwa na watu wake!!!
Tukienda hivi mbona mshindi anajulikana, tatizo M23 akishinda kutakuwa na amani ya kudumu kama kuna jamii zingine zinawaona "walowezi". Hapa issue ni referendum tu wananchi waulizwe kama wanaenda Rwanda au wabaki Drc, vijiji vitakavyosema Yes vienne Rwanda na vinavyosema No vibaki DRC. Ni muhimu kuwa inclusive kwa jamii zote na ikishindaja seccession is vital.hawaelewi.Hapo hiyo ngoma itapiganwa mpaka mshindi apatikane hiyo ndo suluhu tu KWENYE MALI HUWA KIFO NDO KINACHOAMUA AMANI
Iko vile !Msikilize kwa makini huyu jamaa na utaelewa kuwa hawa M23 ni Wanyarwanda wenyeji wa DCR kwa makarne. Pia wanaitwa Banyamulenge. Ni raia wa DRC na wala si kutoka Rwanda.
Sawa na Wamasai wa TZ na Kenya. Kama Wamasai wa Kenya wakiteswa na kuuawa unafikiri wenzao wa TZ watakaa kimya? Ndivyo Wanyarwanda wa DRC na Rwanda hawawezi kutengwa
Hoja yangu ni kwamba, tusilaumu wazungu kwa vita za DRC maana kufadhili vikundi ili upate dhahabu HAINA FAIDA kama kupora dhahabu kupitia mikataba mibovu maana hautoingia gharama ya kununua silaha we kazi yako ni kutoa rushwa kwa watu wachache kuliko kufadhili VITA!! kwahiyo hakuna mwekezaji atapenda vita kuliko amani, so sio kweli kuhusu hili.Kwamba umekariri mbinu ya kuwagawanya watu na kuwaibia inafanywa na mataifa ya Ulaya ni moja? Kama Tz wanaiba kwa 84% huoni tatizo ni lile lile kuwa kuna viongozi wananunulika tofauti tu hakuna ufadhiri wa vikundi, na kwanini wafadhili kama wanaweza kuchukua pasipo vurugu?
Unajua Congo nchi ngapi zinaenda kufanya uporaji tofauti na kile unasema wizi unafanyika kwa 84%?
Huko Ituri, Kivu nord na sud, hao wanyamulenge wanaonekana ni "wakuja" au "wavamizi" kwahiyo hata iweje itakua ngumu kuwa incorporated. Ila wakijiunga na "ndugu" zao wa Rwanda na Burundi itapunguza tension maana hata assimilation itakua rahisi.Hoja yako ni nini? Kwamba kuwaunganisha watusi walioko Congo ndio suluhu? Ok. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yalikuwa Watuso na wahutu ndani ya nchi moja kwa hoja yako hiyo walitakiwa kila kabila kiqe nchi yake?
Kama vile Wamakonde wapo wa Mtwara na wapo pia kule Nsumbiji !Serikali ya Congo iwakubali raia wake tu.
M23 ni Wanaume sana. I like their sprits.
Hata wamarekani walishangiliwa Sana walipoingia Baghdad ila kilichofuata baadae Kila mtu anakumbuka.
Ni kweli huwezu kufukuza Wajaluo wa Mara ukasema ni Wakenya. Au Kenya ikafukuza Wamasai eti ni Watanzania.Msikilize kwa makini huyu jamaa na utaelewa kuwa hawa M23 ni Wanyarwanda wenyeji wa DCR kwa makarne. Pia wanaitwa Banyamulenge. Ni raia wa DRC na wala si kutoka Rwanda.
Sawa na Wamasai wa TZ na Kenya. Kama Wamasai wa Kenya wakiteswa na kuuawa unafikiri wenzao wa TZ watakaa kimya? Ndivyo Wanyarwanda wa DRC na Rwanda hawawezi kutengwa
Pumbaf kabisaLiangalieni hili lishetani; limejaa chuki, wivu, roho mbaya, ghirba na uzushi. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni mpango wa Mungu hivyo nyie mashetani hata mjitahidi kwa nguvu kubwa kiasi gani kuchochea hamtomuweza. Mnakutana na kigingi Cha Mungu dakika hiyohiyo.
Itumike mipaka ipi sasa kama mbadala?Mipaka ya mkoloni ilifànywa kwa makusudi ije kuzua matatizo.
Wagawe uwatawale.
Shida ya Madini iliyoko Congo iko afrika nzima, tofauti ni M23 wamejaribu kukataa kuibiwa Mchana Kweupe ndio maana hayo yanatokeaHii sababu siikubali? Kwani hao wazungu mbona wanapora madini yetu hapa kwa mikataba mibovu. Imagine dhahabu yetu wanachukua 84% ya faida bila kufadhili kikundi cha kigaidi sasa unadhani wangepewa mkataba wa madini huku bado watoe fedha za silaa hauoni faida inakuwa ndogo kuliko nchi ikiwa na amani??
Hii hoja tunapenda kuitumia kujitia moyo tu ila DRC bila vita bado wangeporwa tu madini kupitia mikataba mibovu kama tu Tanzania tulivyopigwa kwenye gesi, dhahabu na Tanzanite.
Narudia tena, suluhu ni kuunganisha Rwanda na maeneo yenye majority HEMA kuanzia kule Ituri mpaka Bukavu. Itapunguza tension na kuwapa watu self determination kujitawala.
Bahati mbaya siasa kati ya nchi huwa haziendi hivyo kwa kuachwa tu. Watu wanapigana karibu na mpaka wako utasema unawaacha tu? Unafikiri kwa nini Kenya iliingia Somalia Au Misri inakuwa na kelele sana kuhusu matumizi ya maji ziwa Victoria??DRC ni mali ya wakongoman, waachwe wakongo na kongo yao.
Rwanda anafuata nini Kongo?: