Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
πππHuyu ndiye rais wa Mbeya. Kila mtu atawale eneo lake... Kuna mtu anapaswa abakie Chato tu.
Ya Lowassa yamekwisha na amehamia ccm kama weweMkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
Hawataki hata kumuonaTulia alitakiwa agombee Rungwe
Unapobeza hao wanaojitokeza kwa hiari yao utakua una shida. Kuna watu wanazungushwa na malori kujaza mikutano, mbona hauwasemi haoMkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
Alitakiwa agombee viti maalumu,wana Mbeya walisahau jitambua kabla hata Tulia akiwa ananyonya mwaka 1995,Kuna mtu anaweza kujifungua mtoto njiti wakati wa matokeo yatakapo tangazwaTulia alitakiwa agombee Rungwe
Yaani nimeshangaa sana watu wale wa Katoro kama vile wamerogwa .Huyu ndiye rais wa Mbeya. Kila mtu atawale eneo lake... Kuna mtu anapaswa abakie Chato tu. Maana hata mji jirani wa Katoro wanamtaka Lisu.
Pale Kongwa kwa Ndugai kuna maendeleo gani?Sawa awaapishe wamlindie ugali wake aongeze hoteli nyingine wao wabakie hoi.
Achaneni na chadema chagueni CCM mean maendeleo ya uhakika na sio blah blah kama hizi za kupeana majukumu ambayo kimsingi yanatakiwa kufanywa na taasisi zinazotambulika kisheria.
πππPale Kongwa kwa Ndugai kuna maendeleo gani?
Huyu hip hop, mwisho wake kule umefika. Tulia atamtuliza kisawasawa.Mkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
Huwa siamini sana Maendeleo yanatokana na Chama kama ambavyo Rais huwa anasema; Moshi Mjini ni Jimbo ambalo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanzishwe halijawahi kuwa chini ya CCM; Lakini Huwezi compare Maendeleo kwenye nyanja zote na maeneo kama Buchosa, Maswa au Kishapu (nimepata kutembea haya majimbo).Achaneni na chadema chagueni CCM mean maendeleo ya uhakika na sio blah blah kama hizi za kupeana majukumu ambayo kimsingi yanatakiwa kufanywa na taasisi zinazotambulika kisheria.
Eee bhana eeee !!!Huwa siamini sana Maendeleo yanatokana na Chama kama ambavyo Raisi huwa nasema; Moshi Mjini ni Jimbo ambalo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanzishwe halijawahi kuwa chini ya CCM; Lakini Huwezi compare na Buchosa, Maswa au Kishapu (nimepata kutembea haya majimbo).
So Binafsi kwa Sample hiyo huwa sikubaliani na Statement ya Rais Magufuli.