Policy za vyama zina mchango katika kuharakisha , kudumaza au kuchelewesha maendeleo.
Kutengeneza mazingira ya maendeleo ni kazi ya serikali , jukumu la kuyatumia mazingira kwa faida ni la mwananchi pekee na hilo tunalisema hapa kila siku, kuwa kila mwananchi ana wajibu wa kufanya kazi ili kuyapata maendeleo binafsi, ukiachana na yale ya kijamii ambayo ni jukumu la serikali.
Mimi natoka huo ukanda hivyo naelewa vyema yote unayozungumza na nimebahatika kutembea maeneo mengi sana hapa nchini hivyo naelewa vyema hali ya kila eneo kiuchumi, tabia za wenyeji na shughuli zao kiujumla.
Kwa mantiki ya statement yako naamini pia huamini pia katika aina ya maendeleo ambayo Lisu amedai atayaleta kwani ni mentality ya watu na sio Lisu atakayeleta maendeleo kwa wananchi.