Uchaguzi 2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

Uchaguzi 2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja rekodi ya mahudhurio lakini kumefanyika tukio la kiapo cha uaminifu , ambapo umati wa wananchi hao umekula kiapo cha kulinda kura.

Mkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"

Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
 
Ya Lowassa yamekwisha na amehamia ccm kama wewe
 
Vijana pambaneni, Hongera Sugu, CCM haina hati miliki Tz, tuchague viongozi makini tuandae mazingira ya Tz bora zaidi leo na Kesho, haya mambo ya hisani mkoloni mweusi ni ujinga na ushamba wetu tusikubali.
 
Sawa awaapishe wamlindie ugali wake aongeze hoteli nyingine wao wabakie hoi.

Achaneni na chadema chagueni CCM mean maendeleo ya uhakika na sio blah blah kama hizi za kupeana majukumu ambayo kimsingi yanatakiwa kufanywa na taasisi zinazotambulika kisheria.
 
Mkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
Unapobeza hao wanaojitokeza kwa hiari yao utakua una shida. Kuna watu wanazungushwa na malori kujaza mikutano, mbona hauwasemi hao
 
Tulia alitakiwa agombee Rungwe
Alitakiwa agombee viti maalumu,wana Mbeya walisahau jitambua kabla hata Tulia akiwa ananyonya mwaka 1995,Kuna mtu anaweza kujifungua mtoto njiti wakati wa matokeo yatakapo tangazwa
 
Mkuu kwanini chadema huwa wasahaulifu hivi? 2015 Lowassa alikuja na mwizi maarufu wa kura kutoka CCM jina lake Chizi kwa ajili ya kupambana na mbinu za wizi na bado kura za UKAWA "zikaibiwa". Kuwaambia wapiga kura wako kuwa kura "zitaibiwa" ubongo wa mwanadamu unatafsiri kama "usipige kura maana zitaibiwa"
Tumieni watu waliosoma saikolojia kama CCM na sio wale Hip Hop tu!
Huyu hip hop, mwisho wake kule umefika. Tulia atamtuliza kisawasawa.
 
Achaneni na chadema chagueni CCM mean maendeleo ya uhakika na sio blah blah kama hizi za kupeana majukumu ambayo kimsingi yanatakiwa kufanywa na taasisi zinazotambulika kisheria.
Huwa siamini sana Maendeleo yanatokana na Chama kama ambavyo Rais huwa anasema; Moshi Mjini ni Jimbo ambalo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanzishwe halijawahi kuwa chini ya CCM; Lakini Huwezi compare Maendeleo kwenye nyanja zote na maeneo kama Buchosa, Maswa au Kishapu (nimepata kutembea haya majimbo).

Moshi is too far kama kuna aliyepata nafasi ya Kutembelea Moshi na Maeneo hayo niliyotaja atanielewa vizuri, Hivyo maendeleo namba moja ni mentality ya watu wenyewe na si Chama.

So Binafsi kwa Sample hiyo huwa sikubaliani na Statement ya Rais Magufuli.
 
Huwa siamini sana Maendeleo yanatokana na Chama kama ambavyo Raisi huwa nasema; Moshi Mjini ni Jimbo ambalo Tangu Mfumo wa vyama vingi uanzishwe halijawahi kuwa chini ya CCM; Lakini Huwezi compare na Buchosa, Maswa au Kishapu (nimepata kutembea haya majimbo).
So Binafsi kwa Sample hiyo huwa sikubaliani na Statement ya Rais Magufuli.
Eee bhana eeee !!!
 
Policy za vyama zina mchango katika kuharakisha , kudumaza au kuchelewesha maendeleo.

Kutengeneza mazingira ya maendeleo ni kazi ya serikali , jukumu la kuyatumia mazingira kwa faida ni la mwananchi pekee na hilo tunalisema hapa kila siku, kuwa kila mwananchi ana wajibu wa kufanya kazi ili kuyapata maendeleo binafsi, ukiachana na yale ya kijamii ambayo ni jukumu la serikali.

Mimi natoka huo ukanda hivyo naelewa vyema yote unayozungumza na nimebahatika kutembea maeneo mengi sana hapa nchini hivyo naelewa vyema hali ya kila eneo kiuchumi, tabia za wenyeji na shughuli zao kiujumla.

Kwa mantiki ya statement yako naamini pia huamini pia katika aina ya maendeleo ambayo Lisu amedai atayaleta kwani ni mentality ya watu na sio Lisu atakayeleta maendeleo kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom