Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua viongozi mbalimbali.Mwishoni mwa video kuna mmoja kasema "it made me laugh!"😁😁😁
..…................…............
Taliban teππorists laugh when journalist asks if they would be willing to accept democratic govt which will include female politicians.
They started laughing and ask to stop filming.
Source: