Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Walahi hatukubaliTakbiiiir Takbiiiir Takbiiiir.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi hatukubaliTakbiiiir Takbiiiir Takbiiiir.
Unagonokeaga msikiti Gani?Mijitu fulani mipuuzi imeumia sana humu kazi kutoa mapovu tu
Allah akubarikiHahaha... Alhamdulillah tunashukuru sana kuwa ni wale wale... kwetu ni UFAHARI na kusujudia baraka hizo.... Thanks to almighty kutupa heshima hizo .
Ameen.... nawe akupe hidaya,Noor,afya na elimu yenye manufaa kwa Umma.Allah akubariki
Hao taleban ni wendawazimu
Na ndio kwanza bado mjiandae kisaikologiaHaya magaidi yana laana bila shaka uzao wa warabu walilaaniwa
heluuaaa heluuuaaaTakbiiiir Takbiiiir Takbiiiir.
Biashara kubwa ya Taliban ni opium na cocaine! USA wamesema wanaelekeza nguvu DRC[emoji23][emoji23]!Na ndio kwanza bado mjiandae kisaikologia
Ni Magaidi Wa Taleban au wapiganaji wa talebani???Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua viongozi mbalimbali.Mwishoni mwa video kuna mmoja kasema "it made me laugh!"[emoji16][emoji16][emoji16]
..…................…............
Taliban teππorists laugh when journalist asks if they would be willing to accept democratic govt which will include female politicians.
They started laughing and ask to stop filming.
View attachment 1895599
Source: