Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

Haya magaidi yana laana bila shaka uzao wa warabu walilaaniwa
 
Na ndio kwanza bado mjiandae kisaikologia
Biashara kubwa ya Taliban ni opium na cocaine! USA wamesema wanaelekeza nguvu DRC[emoji23][emoji23]!
Kama nilivyowahi kusema hawa mabeberu wao wanaangalia maslahi ya taifa lao tu! Wanafanya long term plan na ukiangalia miaka kama 30 mbele hivi mafuta(oil) so dili tena, wanakuja congo kutafuta metallic minerals ambazo zinatumika katika maswala ya electric energy(lithium, cobalt and Nickel) na sisi tujiandae kisaikolojia maana nasikia kule lulenge ngara deposit ya Nickel ni mamilion ya tons
 
Ni Magaidi Wa Taleban au wapiganaji wa talebani???
 
Taliban wanachojua haki za wanawake ni kupokea mashine tu ya mumewe, full stop 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…