Video: Tanzania Royal Tour

Video: Tanzania Royal Tour

Kama kuna Genius ndani ya Tanzania, basi ni architect wa hii film.

Ndani ya Serikali, mtu aliyekuja na hili wazo inabidi apewe tuzo maalum la ushujaa. Ni wazo bora zaidi kuweza kutokea katika hii nchi maana wale jamaa wa TTB wanakula billions akini hakuna kitu kama hiki

Wizara ya utalii hela inapigwa lakini hakuna kitu kama hii. Kama ni mama mwenyewe, hongera. Kama ni mmoja wa wasaidizi, basi apewe wizara maalum

This is incredible
 
Watu walibeza sana hiki alichokuwa anafanya mama bila kujua undani wake. Mimi binafsi niliwah kuwa na wazo kama hili kuhusu kutangaza nchi yetu lakini sikuwahi kufikiria kumhusisha Rais wa JMT. Bado kuna maeneo mengi sana tunaweza kuyatumia kutangaza utalii wetu, mfano kwenye ligi kubwa za ulaya za mpira
 
Really impressive on our eyes[emoji7]. Compare their impacts, what if we'd have Will Smith/Iconic people on TV shows episodes exposing our attractions. I'm eagerly waiting to see her impacts on the sector.
Do you think will Smith could have more impact than the impact that the documentary will have because the president herself is the one leading the tour?
 
Mimi mwanzo nikichukua poa na niliibeza ila kwa jinsi nilivyoiona kiukweli kwa mara ya kwanza nasema 'Mama ameupiga mwingi ' bonge la idea .
 
Umepigwa mwingi mule bonge la video pongezi kwa madirectors na Mama Samia
 
Usiongeze sauti sana😂😂😂😂😂

Wale washamba fc a.ka Sukuma Gang au unaweza kuwaita chato gang hawana hali huko waliko baada ya kuona hili trela tu la hii documentary inayoenda kuonyeshwa dunia nzima! Wamefura kwa hasira na machuki hakuna mfano😂😂😂

Huyo ndo Samia Suluhu Hassan Mama mwenye akili zake na ubunifu wa Kiwango cha juu sana. Anaamini sana kwenye kutumia akili kuliko manguvu ya sukuma gang
 
Hanscana mbona naye anaweza tu, video zake si
tatizo vifaa vya kushoot huo mzigo anavyo? hao jamaa wao ni professional kweny hizo shughuli kuna camera maalum za kushoot wanya mbugani uyo hanscan ako nazo?
 
Tazama iyo maliza washa safari channel au tbc utazame kipindi cha zama damu. Utaona vitu tofauti sana[emoji23]
 
Enzi za Kigwanonix walikuwa wanatamba kina steve mengele...sijui walikuwa wanamtangazia nani utalii nje ya nchi😆
IMG_20211224_091321.jpg

images (70).jpeg
 
hongera mama samiah rais wetu cheap tourism boosting kuliko ile anayoyumia kagame ya vist rwanda
Ila Kagame aliwahi kufanya hiyo Royal Tour miaka mitatu iliyopita, kwa nini aliendelea na hiyo Visit Rwanda ?


Maana naona kakomaa nayo kweli kweli

 
Back
Top Bottom