Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Ficha ujinga kiongozi, aliviingilia vipi wakati yeye ndio amiri jeshi mkuu wa majeshiyote, yani kusema atawaajiri ndio kuingilia??.Magufuli aliviingilia sana kiutendaji vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.
Hao wangeajiriwa sema wamejiharibia wenyewe kwa kukosa nidhamu hata kama angekuwa hai wasingepata ajira.
Kwakitendo cha kuandamana wangekuwa wamemkosea nidhamu amiri jeshi mkuu ambae pia ni rais.