VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.

Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.
Acha uongo wewe!! nani anatea CDF?
 
Nakumbuka Hayati JPM alipotoa asante kwa vijana wa jkt waliojenga Ikulu Dodoma waajiriwe, jeshi lilianza kuwapunguza kwa kigezo cha kupima homa ya ini. Vijana wengi walikutwa na maambukizi hayo wakarudishwa na ajira ikayeyuka. Lakini vijana hao hawakugoma na wana afya nzuri kabisa.
 
Usiamini sana alichokuwa anakisema jiwe muda mwingine alikuwa anajiropokea tu maneno yanayomjia akilini ili watu wampigie makofi na kumshangilia lakini sio kwamba alivyokuwa anavihaidi alikuwa amevikusudia hata kwenye elimu alisema ataajiri walimu 13 elfu kilichofuata baada ya hapo ni ajira elfu 8 tu ndizo zilitoka zingine zikapotea katika mazingira ya kutatanisha

Katika yote unayoweza kumtukana marehemu sio kuhusu misimamo na maneno yake. Iwe kwa Wema au ubaya. Na Sijui kwanini wanadamu kama nyie mnajifanya kumjua mtu kuliko hata yeye na watu Wake wa karibu sana na waliokutana naye wanavyomjua.

Tunapenda kusikia watu Wale ambao watasema. Nilikuwa na changamoto Hii. Au pale mahali palikuwa na changamoto ile tukaenda kunwona JPM mwenyewe akasema hili na hili na hatukupata msaada kabisa. Watu wapumbavu kama wewe Ni Wale ambao wanaandika tu. Hawajui A wala O kuhusu uhalisia.

Toa sumu hiyo mkuu. Embu anza kuishi maisha ya kihalisia.
 
Magufuli aliviingilia sana kiutendaji vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.

Unataka kusema Nini. Hivi unajua wewe magaidi walivyokuwa wametapakaa vor 2015. huwa mnaongea ujinga ujinga tu. Mpeni sifa mtu pale anapostahili na hukumu pale ambapo hata wewe mtoaji utaona una haki ya kusema. Ugaidi. Ujambazi ulipungua sana. Kumbuka Pia hao Ni binadamu kama wewe mwizi wa kuku.
 
Wewe pimbi hujui hata jeshi ni nini wala linaendeshwa vipi.
Na unachanganya mambo unafikiri jeshi ni mgambo wa Jiji.

Jeshi ni proffessionals na hata mtu akiwa CnC kuna vitu akitoa amri, unajua tu hapa kuna tatizo.
Kuhusu Kibiti, wewe wewe endelea kusoma mitandao ambayo ndio saizi yako.
Timewill tell, toka 1964 Jeshi letu halijawahi kutuangusha hata mara moja, kama Jeshi.
Maupumbavu yenu kuingiza vitu vya kijijnga na kupoliticize uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Jeshi lilisha situka.
 
Na hao vijana wamekosa nidhamu jeshini ni sir yes sir hakuna kuhoji na hao 800 walioandamana kuna vijana wengine kwenye hilo kundi wamebaki kwakuwa wao walijutenga wakabaki mabwenini rollcall ikapitishwa ambaao hawakuwa bwenini wote wakapelekwa msata kwa kulainishwa mpaka wakajua kosa lao hivyo wamerudi wapole wale ambao hawajaandamana wamebakizwa wakisubiri utaratibu mwingine waliofukuzwa wameshindwa mtihani wangekuwa tayari jeshini wangefungwa kijeshi
Ila sio vizuri .
Wosia wa marehemu UFUATWE.
kuna wakati MTU anajitafutia laana mwenyewe.
Mtamuudhi marehemu mjue.
 
Hayo NI Mambo ya kujaribiana.
Kwanini wasiwape ajira wakati amir jeshi alishasema.
HAUONI KAMA NI uonevu.?.
kumbuka amri ya amiri jeshi mkuu NI ODA.
ina maana wamempuuza?
Na hao vijana wamekosa nidhamu jeshini ni sir yes sir hakuna kuhoji na hao 800 walioandamana kuna vijana wengine kwenye hilo kundi wamebaki kwakuwa wao walijutenga wakabaki mabwenini rollcall ikapitishwa ambaao hawakuwa bwenini wote wakapelekwa msata kwa kulainishwa mpaka wakajua kosa lao hivyo wamerudi wapole wale ambao hawajaandamana wamebakizwa wakisubiri utaratibu mwingine waliofukuzwa wameshindwa mtihani wangekuwa tayari jeshini wangefungwa kijeshi
 
Kwa kiapo cha Jeshi, askari wanamtii CDF. Yaani CDF akisema chochote, hawamsikilizi Rais.

Sasa hao wamefukuzwa na CDF mwenyewe, hivyo hata amri ya Rais haina nguvu.
Wewe ni mpumbavu kweli. CDF mbele ya Rais ni kama mbw.a tu. Huijui katiba ya Tanzania.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana....
"Ukishamaliza hilo jengo, usiwapeleke kwingine, baada ya miezi miwili waajiri..." Jengo halijaisha. Unapangiwa jikumu jingine unagoma. Unagoma asikari uliyeapa "nitakuwa mtii kwa Rais, viongozi wangu na nitakuwa tayari kupokea amri yoyote itakayotolewa na kutekeleza jukumu lolote nitakalopangiwa" Unagoma ktk taasisi yaa utii wa Amri. Hata ungeajiriwa hatimae ungetimuliwa tu.
 
Bado hata kama.
Binadamu hana mzoga ana MAITI.Hilo neno NI zito Sanaa.
CDF na amiri jeshi mkuu Nani mkubwa?
Nani mwanajeshi namba 1?.
Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana...
Nimeisoma na kuisomaga, lakini sijaona popote pale Magu akisema waandamane hadi Ikulu. Wewe umeona kamanda?
 
Katika yote unayoweza kumtukana marehemu sio kuhusu misimamo na maneno yake. Iwe kwa Wema au ubaya. Na Sijui kwanini wanadamu kama nyie mnajifanya kumjua mtu kuliko hata yeye na watu Wake wa karibu sana na waliokutana naye wanavyomjua...
Bandiko lako linaonyesha una emotion na stress kali kuondokewa na mtakatifu jiwe ikiwa bado unamhitaji ila kwa bahati mbaya shetani amewahi kumchukua mja wake kusudi akatumikie adhabu yake ya moto wa jehanamu mapema. Pole sana mkuu
 
Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana..

Hao vijana ni wajinga tuu na wana stahili kufukuzwa maana waligoma wakijua kabisa jeshini hakuna kugoma!

Magufuli ali waahidi ajira wakishamaliza kujenga ikulu ya chamwino na ikulu bado haijakamilika..wamepangiwa kazi nyingine wakagoma na ikumbukwe Magufuli alisha sema waandikwe majina hivyo walishapewa ajira sema walitakiwa kujua kuwa utii ni lazima!

Wenzao wanaendelea na kazi sasa wao wakapangiwa kazi pengine wanagoma badala ya kwenda na kusubiri hatima yao mpaka mwisho!

Watu kama hawa ni hatari kwa taifa ni waasi kabisa walipaswa kufukuzwa siku ya kwanza!
 
Usiamini sana alichokuwa anakisema jiwe muda mwingine alikuwa anajiropokea tu maneno yanayomjia akilini ili watu wampigie makofi na kumshangilia lakini sio kwamba alivyokuwa anavihaidi alikuwa amevikusudia hata kwenye elimu alisema ataajiri walimu 13 elfu kilichofuata baada ya hapo ni ajira elfu 8 tu ndizo zilitoka zingine zikapotea katika mazingira ya kutatanisha
Alikuwa anaongea kufurahisha baraza tu
 
Back
Top Bottom