Ficha ujinga kiongozi, aliviingilia vipi wakati yeye ndio amiri jeshi mkuu wa majeshiyote, yani kusema atawaajiri ndio kuingilia??.Magufuli aliviingilia sana kiutendaji vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.
Mkuu sidhani kama umepitia jeshi au unajua administration ya jeshi.Ficha ujinga kiongozi, aliviingilia vipi wakati yeye ndio amiri jeshi mkuu wa majeshiyote, yani kusema atawaajiri ndio kuingilia??.
Hao wangeajiriwa sema wamejiharibia wenyewe kwa kukosa nidhamu hata kama angekuwa hai wasingepata ajira.
Kwakitendo cha kuandamana wangekuwa wamemkosea nidhamu amiri jeshi mkuu ambae pia ni rais.
Kumbuka hata mkuu wa wilaya anaapa kwa mkuu wa mkoaNdio kwa mujibu wa viapo vya askari.
Wanajeshi wanaapa kwa CDF.
Acha uongo!Kugoma kwa mwanajeshi ni sawa na Uasi,
You can imagine kuwa na askari wasiokuwa na nidhamu.
CDF yupo sawa.
Ametoa msamaha haimaanishi walichokifanya ni sahihi.Acha uongo!
Mbona wote wamerudishwa sasa