Kwa kuwa yeye ni "educated", anatamani aje Bongoland agombee uongozi mkubwa Tzii halafu awatawale "uneducated" a.k.a "wajinga"...
The same mbinu itumiwayo na ma - CCM. Bahati njema, ni kuwa their end in just around the corner kwa sababu hata wajinga (uneducated) in very special circumstances hutokea ghafla tu wakawa werevu (educated)..!!
Hapo ndipo werevu waliotangulia huanza kuwashiwa moto kisawasawa...