Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

Tundu Lisu....sijui niandike nn ili kumsifia huyu mtu
Hakuna maneno mazuri ya kuyatumia kumwelezea...

Ndiyo maana walitaka kumuua..

Sijui ni kwanini wateule wa Mungu dunia hii huwindwa sana ili wauwawe...!!
 
Huyu jamaa anatamani aje Tanzania...

Kwa kuwa yeye ni "educated", anatamani aje Bongoland agombee uongozi mkubwa Tzii halafu awatawale "uneducated" a.k.a "wajinga"...

The same mbinu itumiwayo na ma - CCM. Bahati njema, ni kuwa their end in just around the corner kwa sababu hata wajinga (uneducated) in very special circumstances hutokea ghafla tu wakawa werevu (educated)..!!

Hapo ndipo werevu waliotangulia huanza kuwashiwa moto kisawasawa...
 
Back
Top Bottom