Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maneno mazuri ya kuyatumia kumwelezea...Tundu Lisu....sijui niandike nn ili kumsifia huyu mtu
Haya ndiyo maoni yako siyo...?Huyu mkenya fala tu!
Ni kweli mkuu.Hakuna maneno mazuri ya kuyatumia kumwelezea...
Ndiyo maana walitaka kumuua..
Sijui ni kwanini wateule wa Mungu dunia hii huwindwa sana ili wauwawe...!!
Huyu jamaa anatamani aje Tanzania...