Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.
Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote ile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa
Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote ile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa