GE2025 Video: Tazama uchafu wa askari walivyopiga risasi kwa wananchi waliosimama tu barabarani

GE2025 Video: Tazama uchafu wa askari walivyopiga risasi kwa wananchi waliosimama tu barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hali ya uhalifu uliotokea kwenye yale maandamano na amri ya watu waingie ndani ikifika saa 12 ni heri mtu uwe ndani ikifika huo muda hawa watu kwa sasa wameweka utu pembeni na kila mtu awe makini sana kipindi hiki.
 
Aione
Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.

Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote hile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa

Lucas Mwashambwa

Tunapo sema unatukebei for sure Kwa navyo jisikia NAKUCHUNA NGOZII na sioni HURUMA juu Yako.

Tumerushiwa risasi kama waharifu nyumbani
 
Nasikia SIRARI maeneo ya KEBYAYO waliua polisiccm mmoja aliekuwa amepanda farasi! farasi na yeye wakamkata mapanga! huku kwetu Tarime polisiccm mmoja alichomwa mshale!
 
Back
Top Bottom